Friday, 17 March 2023

WATUMISHI VETA SHINYANGA WAFUNDWA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA, KUEPUKA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Watumishi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA mkoani Shinyanga wakiwa katika Semina ya utumishi wa umma na kuzingatia afya zao wanapokuwa katika utekelezaji wa majukumu yao.

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

WATUMISHI wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mkoani Shinyanga, wamepewa elimu ya maadili ya utumishi wa umma, kwa kuzingatia kanuni Nane ili wawajibike vizuri katika utekelezaji wa majukumu yao.

Elimu hiyo imetolewa leo Machi 16, 2023 kwenye kumbi za mikutano katika Chuo cha VETA Shinyanga.

Afisa Maadili Mwandamizi Vupala Mbwilo kutoka Ofisi ya Rais Sektretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma Kanda ya Magharibi Tabora, akitoa elimu ya maadili ya utumishi wa Umma kwa watumishi wa VETA, amewataka wanapokuwa katika utekelezaji wa majukumu yao muda wote wazingatie maadili hayo ili wafikie malengo yao na kufanya kazi kwa ufanisi.

“Watumishi wa VETA muda wote mnapokuwa katika utekelezaji wa majukumu yenu, zingatieni kanuni Nane za maadili ya utumishi wa Umma ili mfanye kazi kwa ufanisi,”amesema Mbwilo.

Aidha, amezitaja kanuni hizo Nane za maadili ya utumishi wa Umma ambazo watumishi hao wa VETA wanapaswa kuzizingatia, kuwa ni kutoa huduma bora, kufanya kazi kwa bidii, kutoa huduma bila upendeleo, kufanya kazi kwa uadilifu, uwajibikaji kwa umma, kuheshimu sheria, kutii Serikali na matumizi sahihi ya taarifa.

Naye Afisa Maadili Onesmo Msalangi, amesema uzingatiaji maadili ni muhimu sana katika utumishi wa umma, na kuwataka watumishi hao wa VETA mafunzo ambayo wamewapatia wayashike na kuyatekeleza kwa vitendo.

Kwa upandewake Daktari bingwa wa Magonjwa ya ndani kutoka Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dk. Zizima Mohamedi, awali akitoa elimu ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza, amewataka watumishi hao wa VETA wanapokuwa katika majukumu yao wazingatie pia suala la afya zao kwa kufuata ratiba ya kula chakula, kufanya mazoezi pamoja na kupima afya mara kwa mara,

Nao baadhi ya watumishi VETA wameshukuru kupewa elimu hiyo, ambayo wamesema itawasaidia katika utekelezaji wa majukumu yao.

Aidha, katika semina hayo zimewasilishwa mada mbalimbali ikiwamo ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Maadili katika Sekta ya Umma, uwajibikaji wa pamoja katika Sekta ya Umma, ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa Umma, udhibiti wa mgongano wa maslahi.
Mkuu wa Chuo cha VETA Shinyanga Magu Mabelele akizungumza kwenye Semina hiyo.
Daktari wa Magonjwa ya ndani kutoka Hospitali ya Rufaa mkoani Shinyanga Dk. Zizima Mohamedi akitoa elimu ya Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kwa watumishi wa VETA Mkoa wa Shinyanga.
Afisa maadili mwandamizi Vupala Mbwilo kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma kutoka Kanda ya Magharibi Tabora akitoa mada kwa watumishi wa VETA Shinyanga kuzingatia maadili ya utumishi wa umma katika utekelezaji wa majukumu yao.

Afisa maadili Onesmo Msalangi kutoka Ofisi ya Rais Sekretariet ya maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Magharibi akitoa mada ya elimu ya uwajibikaji katika Sekta ya umma kwa watumishi wa VETA Shinyanga.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA mkoani Shinyanga Magu Mabelele (kulia) akiwa na wawezesha kwenye Semina hiyo kutoka Ofisi ya Rais Sekretariet ya maadili ya viongozi wa umma.
Watumishi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA mkoani Shinyanga wakiwa kwenye Semina.
Watumishi wa VETA Shinyanga wakiendelea na Semina.

Washiriki wakiuliza maswali kwenye Semina hiyo.
Maswali yakiendelea kuulizwa kwenye Semina hiyo.
Maswali yakiendelea kuulizwa kwenye Semina hiyo.
Maswali yakiendelea kuulizwa kwenye Semina hiyo.
Washiriki wakiwa kwenye Semina.
Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya Semina kumalizika.
Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya Semina kumalizika.
Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya Semina kumalizika.
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 17,2023

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MACHI 16,2023

Share:

BODABODA KAWE YAFIKIWA NA MERIDIANBET

Bodaboda ni moja ya kazi inayotegemewa na kundi kubwa sana la vijana kwa sasa mjini na vijijini, lakini moja ya sababu inayokatisha ndoto za wengi ni ajali na ndio maana Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujikinga na ajali.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu aliongozana na kamanda wa polisi Kawe na Mbweni Inspekta Alex Duguza katika zoezi hilo la wiki ya nenda kwa usalama katika, pamoja na timu nzima ya Mabingwa wa kutoa odds kubwa za ubashiri kwenye maduka ya ubashiri ambapo wanakupa nafasi ya kubashiri mubashara pia, katika zoezi hilo hili lilikuwa ni neno lake.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”

Inspekta Duguza alitoa elimu kwa bodaboda na kuishukuru pia kampuni ya Meridianbet kwa kuwashika mkono vijana hao.

“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.

Akiwakilisha kundi kubwa la Bodaboda moja ya Dereva aliyefahamika kwa jina la Kelvin Mdosokile alisema, Meridianbet wamefanya kitu kikubwa kutahamini juhudi zao na kazi yao ambapo makampuni mengine waige mfano huo.

“Kama ambavyo wanatoa huduma bora za ubashiri kwa kutoa odds kubwa, machaguo 1000+ na kasino ya mtandaoni, hiki walichokifanya ni kuthamini kazi yetu, makampuni mengine tunayomba yaige mfano wa Meridianbet mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni” Kelvin

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= 

PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger