Monday, 25 November 2019
Chadema yatoa majina ya wagombea ngazi ya kanda...Lazaro Nyalandu Naye Yumo
Tume Ya Uchaguzi Yatoa Mwaliko Kwa Taasisi Na Asasi Za Kiraia Kutoa Elimu Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2020
Majaji Watatu Kutumia Wiki 3 kusikiliza Mashauri 29
Mashauri ya rufaa za madai ni 12, mashauri ya jinai matatu, mashauri ya madai 11 na maombi ya jinai ni matatu.
Msumi amesema kikao hicho cha wiki tatu kitaongozwa na majaji watatu ambapo Mwenyekiti wao atakuwa Jaji Agostona Mahija akisaidiana na Jaji Gerad Ndika pamoja na Jaji Rehema Kerefu.
LIVE: Ziara Ya Rais Magufuli Jijini Dodoma
Tangazo La Nafasi Za Kazi Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura -Dodoma
Mrema Alalamika Kuchezewa Rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa
MOTO WAUNGUZA NYUMBA NA KUUA WATU WANNE
Sunday, 24 November 2019
Radi Yaua Watatu Rukwa
Administrative Assistant Job Opportunity at Export-Import Bank of Korea
Position: Administrative Assistant The Export-Import Bank of Korea Job Purpose: General Support to Office Operations Responsibilities: Answer and direct phone calls Organize and schedule meetings and appointments Produce and distribute correspondence memos, letters, faxes and forms Assist in the preparation of regularly scheduled reports Develop and maintain a filing system, maintain computer and manual filing systems Book travel arrangements… Read More »
The post Administrative Assistant Job Opportunity at Export-Import Bank of Korea appeared first on Udahiliportal.com.
LIVE: Rais Magufuli Akipokea Gawio Kutoka Taasisi Mbalimbali
WASICHANA 91 MSALALA WA JAMII ZA WAFUGAJI WALIONUSURIKA KUOLEWA WANUFAIKA NA ELIMU BURE
Government Job Opportunities at MBEYA District Council | Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura
Clinical Coordinator at Aga Khan Health Services November 2019
Aga Khan Health Services Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network (AKDN) is a non-profit international organization that supports social development programs in Tanzania completed a major expansion to position the institution to become a leading and integrated tertiary and teaching health care system in Tanzania. As part of its health systems strengthening initiatives… Read More »
The post Clinical Coordinator at Aga Khan Health Services November 2019 appeared first on Udahiliportal.com.
RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE WASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KATIKA PAROKIA YA MT.MARIA CHAMWINO JIJINI DODOMA
Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hui ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushioriki katika misa katika parokia hii toka ahamkie rasmi Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini
Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hui ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushioriki katika misa katika parokia hii toka ahamkie rasmi Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino
jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba
24, 2019
Picha na IKULU
Digital Marketing Executive Job Opportunity at WORLDPORI Travel And Tours LTD
Position: Digital Marketing Executive Location: Dar es Salaam Job Summary Assist in the planning, execution and optimization of our online marketing efforts. Passion in marketing and technology is key. Responsibilities: Assist in the formulation of strategies to build a lasting digital connection with customers Plan and monitor company presence on social media ( Instagram, Facebook, Tweeter, etc ) Launch… Read More »
The post Digital Marketing Executive Job Opportunity at WORLDPORI Travel And Tours LTD appeared first on Udahiliportal.com.