
Kamanda
wa Polisi, mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema wanafunzi 31 na
walimu wao wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, ulipo mto
Mlera.
Mkumbo
amesema wanafunzi waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni wa shule ya
mchepuo wa Kiingereza, iitwayo Luck Vicent ya mjini Arusha.
Kati...