Sunday, 2 April 2017
Thursday, 30 March 2017
Monday, 27 March 2017
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI AWAMU YA KWANZA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO MBALILMBALI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA MARCH INTAKE 2017/18
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)
KWA AWAMU YA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017Sunday, 26 March 2017
Thursday, 23 March 2017
Wednesday, 22 March 2017
Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya
Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo, baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa Dar ikiwemo kumpigia simu na kumpelekea taarifa ofisi.
Sunday, 19 March 2017
TANGAZO LA KAZI KWA MADAKTARI WATANZANIA NCHINI KENYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Ministry of Health, Community Development,
Gender, Elderly and Children
VACANCIES
The
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children
in Tanzania has announced 500 job opportunities to Doctors. The qualified candidates who are willing to work in Kenya are invited to apply through an e mail address maombiyakazi@moh.go.tz Please read the full announcement at the image below and apply before 27 March 2017.
Please, share this announcement as much as you can.
You may also download this announcement in PDF File from the Ministry of Health Official Website, click here
Saturday, 18 March 2017
TUNDU LISSU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA TLS
Wajumbe
wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa
kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama
chao.
Uchaguzi
huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa TLS wamekutana
kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji
kazi wa chama hicho.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Urais: Kura zilizopigwa 1682
- Tundu Lissu 1411 sawa na asilimia 88
- Francis Stolla 64
- Victoria Mandari 176
- Godwin Mwapongo 64
==>Kwa
upande wa nafasi ya Makamu wa Rais (TLS) mshindi ni Godwin Ngwilimi
aliyekuwa Mwanasheria wa Tanesco na kutimuliwa kwa kupinga Escrow.
Council Members
- Jeremiah Motebesya
- Gida Lambaji
- Hussein Mtembwa
- Aisha Sinda
- Steven Axweso
- David Shilatu
- Daniel Bushele
MKUU WA MKOA ANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII
Watu
wawili wamenusurika kifo baada ya gari dogo aina ya taxi kuwagonga
wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017
mjini Iringa huku mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akinusurika.
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.
Ajali hiyo inadaiwa kusababishwa na uzembe wa dereva aliyekaidi amri ya
askari wa usalama barabarani ambao walisimamisha gari hilo lililokuwa
likitoka mwelekeo mmoja na wafanya mazoezi hao.
Majeruhi hao wamepata michubuko kiasi mwilini huku mkuu wa mkoa ambaye
alikuwa karibu na majeruhi huyo hakuumia na gari hilo japo alikuwa
karibu na majeruhi hao .
Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa
Askari polisi wakiwa wamemkamata dereva taxi aliyesababisha ajali
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia akimtazama mmoja kati ya
majeruhi waligongwa na gari asubuhi hui wakiwa katika mazoezi
PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAMANDA WA MATUKIO BLOG