...
Thursday, 30 March 2017
Monday, 27 March 2017
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI AWAMU YA KWANZA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO MBALILMBALI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA MARCH INTAKE 2017/18

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)
KWA AWAMU YA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/20...
Sunday, 26 March 2017
Thursday, 23 March 2017
Wednesday, 22 March 2017
Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya
Habari wakuu,
Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo,
baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu
juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa Dar ikiwemo kumpigia simu na
kumpelekea taarifa ofis...
Sunday, 19 March 2017
TANGAZO LA KAZI KWA MADAKTARI WATANZANIA NCHINI KENYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Ministry of Health, Community Development,
Gender, Elderly and Children
VACANCIES
The
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children
in Tanzania has announced 500 job opportunities to Doctors.
The qualified candidates who are willing to work in Kenya are invited to apply through an e mail address maombiyakazi@moh.go.tz...
Saturday, 18 March 2017
TUNDU LISSU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA TLS

Wajumbe
wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa
kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama
chao.
Uchaguzi
huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa TLS wamekutana
kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali...
MKUU WA MKOA ANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII

Watu
wawili wamenusurika kifo baada ya gari dogo aina ya taxi kuwagonga
wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017
mjini Iringa huku mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akinusurika.
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa dakika tatu tu baada...
Friday, 17 March 2017
Saturday, 25 February 2017
Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti Wa Bodi Mamlaka Ya Masoko Ya Mitaji Na Dhamana

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,
amemteua Dkt. John Kedi Mduma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA).
Taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa
uteuzi wa Dkt. John Kedi Mduma...