Wednesday, 6 July 2016

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY TAREHE 6.7.2016



IMG_20160706_062200

IMG_20160706_062223

IMG_20160706_062241

IMG_20160706_062254

IMG_20160706_062315

IMG_20160706_062339

IMG_20160706_062358

IMG_20160706_062413

IMG_20160706_062426

IMG_20160706_062437

IMG_20160706_062458

IMG_20160706_062524

IMG_20160706_062545

IMG_20160706_062604

IMG_20160706_062615

IMG_20160706_062635

IMG_20160706_062647

IMG_20160706_062659

IMG_20160706_062713

IMG_20160706_062724

IMG_20160706_062735

IMG_20160706_062749

IMG_20160706_062801

IMG_20160706_062813

IMG_20160706_062823

IMG_20160706_062842

IMG_20160706_062856

IMG_20160706_062909

IMG_20160706_062924

IMG_20160706_062959

IMG_20160706_063031

IMG_20160706_063050
IMG_20160706_063105
Share:

Tuesday, 5 July 2016

BREAKING NEWS:SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA WAPYA 2016


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatangaza Makatibu Tawala wa Wilaya wateule katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Raisi - Utumishi leo jioni.


Share:

MPYA:HATIMAE MWEZI WAONEKANA,KESHO WAISLAM WOTE WANAKULA IDD














 Shekhe mkuu wa Tanzania ametangaza kuwa siku ya kesho ni id el fitri.
Uongozi wa Maswayetu Blog kwa pamoja unapenda kuwatakia waislam wote Tanzania heri na nafaka ya sikukuu ya  ID EL FITRI hapo siku ya kesho.

Uongozi unawasihi kusheherekea kwa utulivu na amani.

Thanks.
MASWAYETU BLOG TEAM!

 
Share:

Makonda: Meya wa jiji ni bora akawa na shughuli nyingine

Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ameelezea mipaka yake ya kazi kati yake na meya wa jiji kwa kuwa watu wengi huwa wanachanganya.
Amesema meya wa jiji ni amechaguliwa na madiwani kuwa mwenyekiti wao, kama ilivyo kwa spika wa bunge alivyochaguliwa na wabunge kuwa mwenyekiti wao na kazi yao ni kuwa mwenyekiti wa kikao.

Ameongezea kuwa kiutaratibu meya anaingia manispaa mara mbili kwa wiki na inapendekezwa akatafuta shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala.

Share:

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti Bodi Benki ya TIB Prof. Lyakurwa na Kumteua Prof. Kabudi

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 48 cha sheria ya tafsiri za sheria (Interpretation of Laws Act) Sura 1, leo tarehe 5 Julai, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB Prof. William Lyakurwa.
Kufuatia hatua hiyo, kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 9 (2) cha ya Sheria ya mashirika ya umma (Public Corporations Act) Sura 257, Mhe. Rais amemteua Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi kushika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB kwa kipindi cha miaka mitatu.

Kufuatia mabadiliko hayo, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 48 cha sheria ya sheria ya tafsiri za sheria (Interpretation of Laws Act) Sura 1, ametengua uteuzi wa Wajumbe Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB. Aidha, kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 9 (1) cha ya Sheria ya mashirika ya umma (Public Corporations Act, Sura 257) Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango ameteua wajumbe wapya wa Bodi wafuatao kwa kipindi cha miaka mitatu:

Brig. Gen (Rtd) Mabula Mashauri
Dkt. Razack B. Lokina
Bi. Rose Aiko
Prof. Joseph Bwechweshaija
Bw. Said Seif Mzee
Dkt. Arnold M. Kihaule
Bw. Maduka Paul Kessy
Bw. Charles Singili

Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wapya wa Bodi unaanza tarehe leo 5 Julai, 2016.

[​IMG]
Share:

Ukweli kuhusu taarifa za Mbwana Samatta kuhamia AS Roma ya Italia

Good news kwa watanzania wote kwa mwaka 2016 ilikuwa ni headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji, lakini leo July 5 2016 jina la Samatta limerudi tena kwenye headlines za usajili.
Kuanzia usiku wa July 4 hadi leo July 5 habari zilizokuwa zimesambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Samatta ni kuwa yupo njiani kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italia, hii ni taarifa ambayo imeenea kwa kiasi kikubwa hata kufikia baadhi ya wanasoka Tanzania kutumia social network zao  kumpongeza.
sama 1
Mchezaji wa Yanga Haruna Niyonzima
Baada ya habari hii kuenea kwa kiasi kikubwa, MASWAYETU BLOG ilifatiliwa ambapo meneja wa staa huyo Jamal Kisongo amesema kwamba “Huo ni uzushi tu hata sijui umetoka wapi na mimi nimesikia mitandaoni, lakini nimewasiliana na Samatta hakuna habari kama hizo wala mawakala wake hawana taarifa hizo”
sama 2
Share:

MPYA:APPLICATION NAFASI ZA MASOMO VYUO VYA SAMAKI NA UVUVI 2016/2017



     MINISTRY OF LIVESTOCK AND FISHERIES DEVELOPMENT
FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY
             P.O. Box 83, BAGAMOYO. TANZANIA
ADMISSION 2016/2017

Applications are invited from suitably qualified candidates for admission into Courses offered by either of the following campuses under the Fisheries Education and Training Agency (FETA) :
A.        MBEGEANI CAMPUS
1.       MASTERFISHERMAN ORDINARY DIPLOMA COURSE
A two years course in Nautical Science studies leading to the award of Diploma in Master Fisherman.

2.       MASTERFISHERMAN CERTIFICATE COURSE 
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Master Fisherman

3.       FISH PROCESSING, QUALITY ASSURANCE & MARKETING ORDINARY DIPLOMA COURSE.
A two years course in Post – harvest aspects of fisheries Level leading to the award of Diploma in Fish Processing, Quality Assurance and Marketing 

4.       FISH PROCESSING, QUALITY ASSURANCE & MARKETING CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Fish Processing, Quality Assurance

5.       AQUACULTURE ORDINARY DIPLOMA COURSE
A two years course leading to the award of Diploma in Aquaculture

6.       AQUACULTURE CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Aquaculture

7.       ENVIRONMENT AND COASTAL RESOURCES MANAGEMENT CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Environment and Coastal Resources Management Certificate

8.       ENVIRONMENT AND COASTAL RESOURCES MANAGEMENT DIPLOMA COURSE
A two years course leading to the award of Environment and Coastal Resources Management Diploma.

9.       MARINE ENGINEERING TECHNOLOGY CERTIFICATE COURSE
A one year Course Leading to the award of Basic Technician Certificate in Marine Engineering Technology

10.    MARINE ENGINEERING TECHNOLOGY DIPLOMA COURSE
A two years Course Leading to the award of Diploma Certificate in Marine Engineering Technology

B.        NYEGEZI CAMPUS

11.    FISHERIES MANAGEMENT AND TECHNOLOGY ORDINARY DIPLOMA COURSE
A two yeas course leading to the award of Diploma in Fisheries Management Technology

12.    FISHERIES MANAGEMENT AND  TECHNOLOGY CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Fisheries Management Technology

13.    FISHERIES SCIENCE  AND TECHNOLOGY CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Fisheries Science Technology

14.    FISHERIES SCIENCE  AND TECHNOLOGY ORDINARY  DIPLOMA COURSE
NTA level 6 - 1year course in Fisheries Science Technology leading to the award of Diploma in Fisheries Science Technology

15.    AQUACULTURE CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Aquaculture

16.    AQUACULTURE ORDINARY DIPLOMA COURSE
A two years course leading to the award of Diploma in Aquaculture             

C.        KIGOMA CAMPUS

17.    AQUCULTURE CERTIFICATE COURSE
A one year course leading to the award of Basic Technician Certificate in Aquaculture

18.    AQUACULTURE DIPLOMA COURSE
A two years course leading to the award of Diploma in Aquaculture
MINIMUM ENTRY QUALIFICATION REQUIRED
FOR DIPLOMA COURSE
Either: `A` Level, with Principal pass and two subsidiary passes in Mathematics, Chemistry, Biology, Physics, Geography and Economic. Or PLUS evidence of successful completion of a Certificate programme in a relevant of study equivalent to NTA level five (4).

FOR CERTIFICATE COURSES
`O` Level with at least 4Ds with passes in any of the following subject: Mathematics, Physics, Chemistry, Additional Mathematics, Geography, Technical Drawing and Biology

APPLICATION
Prospective candidates should apply through NACTE central admission system at www.nacte.go.tz or you may obtain application forms at www.feta.ac.tz  or www.anfts.org or visit one of our campuses located in Kibirizi-Kigoma, Mbegani-Bagamoyo, Nyegezi-Mwanza, Gabimori-Mara and Mikindani-Mtwara or District Fisheries Officers in all districts in the country

For more information contact:
Chief Executive Officer,
Fisheries Education and Training Agency,
P.O. Box 83, BAGAMOYO. Tel: 0732 -928166 Mobile phones 0755492988,  0714033308
E- mail mbeganifdc83@yahoo.com                                   
or Centre Director, Nyegezi Campus,
P.O. Box 1213, MWANZA. Tel 028- 2550119 Mobile phones 0754650996, 0757120172
The institute is registered by NACTE and has full Accreditation status



Share:

HII HAPA RATIBA YA MTIHANI DARASA LA SABA 2016

PSLE 2016 EXAM TIMETABLE



Share:

RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE CSEE 2016

CSEE 2016 EXAM TIMETABLE

 

 



 

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger