INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Chama
cha Upinzani cha ACT-Wazalendo kupitia Prof. Kitila Mkumbo kimemtangaza
Mwenyekiti wake Mama Anna Elisha Mghwira kuwa mgombea wa nafasi ya
Urais kwa tiketi ya chama hicho katika mkutano mkuu uliofanyika Jana ,
huku mgombea mwenza akiwa ni Hamad Mussa Yusuph, mzawa wa Visiwani
Zanzibar.
ACT-Wazalendo kinakuwa ni chama cha kwanza nchini Tanzania kusimamisha mgombea urais mwanamke katika uchaguzi wa maana huu na ni chama cha pili nchini kusimamisha wagombea ubunge katika majimbo mengi nchini ikiongozwa na CCM.