Mchakato
wa kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani ndani
ya CCM ulioanza tarehe 15/07/2015 unaendelea vizuri na unakaribia katika
hatua za mwisho za uteuzi. Kwa nafasi ya Ubunge na Uwakilishi
tunategemea kufanya uteuzi tarehe 13/08/2015.
ADMISSION DEAD LINE EXTENSION FOR EDUCATION PROGRAMMES
The Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) in
collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE)
would like to inform the public that the deadline for application into
Ordinary Diploma and Higher Diploma in Teachers Education programmes through the Central Admission System (CAS) has been extended to 16thAugust 2015.
Jeshi la polisi linatangaza majina ya
wanafunzi kidato cha SITA waliomaliza shule mwaka 2014 na kujaza fomu
za kujiunga na jeshi la polisi walipokuwa shuleni.
Wanafunzi hao wanatakiwa kufika kwenye usaili kama ambavyo inaonekana hapo chini.
Kama kawaida MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia watu majina yao endapo kama umechaguliwa katika usaili.
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 mfano (JUMA PAUL-POLISI KIDATO CHA SITA 2015)
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TU ambayo utaituma kwa MPESA kwenda namba zifuatazo;
0768260834-mpesa
0652740927-tigo pesa
3.Tutakujibu ndani ya dk 1 tu,usipige simu kwani ipo busy mda wote thanks. 4.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA
KUANGALIA MAJINA HAYO YALIOCHAGULIWA UPOLISI BONYEZA HAPO CHINI
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge
wa Segerea anayemaliza muda wake, Mhe. Dkt. Makongoro Milton Mahanga
akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake Segerea Mwisho
jijini Dar es Salaam, ametangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) tangu leo, Jumapili Agosti 2, 2015.
a kuwa kuna baadhi ya wanafunzi ambao wametuma barua ya kuruhusiwa kuomba vyuo mwaka huu lakini taarifa zao zimekuwa ni za uongo hivyo basi wametakiwa kutuma upya taarifa zao ili waweze kuruhusiwa kuomba vyuo upya mwka huu wa masomo 2015/2016.
Tafadhali bonyeza hapo chini kuangalia kama jina lako lipo katika hiyo orodha
Asante
MUNGU asante wadau asante tmk WANAUME family asante wcb asante mkubwa
na wanawe asante tip top connection asante wanachama wenzangu asante
wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni
siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa kura nyingi na wana ccm
wenzangu kwenye kinyang'anyilo cha udiwani kata ya kilungule na
shukulu MUNGU nimepata asilimia 87 kwa kura zote asante MUNGU