Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
Tungependa
kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia
umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na
mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali
sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa
kihistoria hapo Oktoba 25.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Anaitwa warda makongwa ni kati ya mapresenter wenye kipaji cha hali ya juu,yeye ni presenter wa PLANET IFM morogoro,salute kwako mkuu.
huyu ndio mwanadada warda makongwa,umri nussery akili chuo kikuu
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mzee
Benson Wanjau maarufu kama Mzee OJWANG HATARI mume wa Mama Kayaii
amefariki usiku huu majira ya Saa 2 Hospital ya KEnyatta National
Hospital alipikuwa akipata matibabu ya maradhi yaliyomsumbua kwa kipindi
kirefu kidogo.