INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Sunday, 12 July 2015
Saturday, 11 July 2015
BREAKING NEWS:HII NDIO TATU BORA URAIS CCM,MAGUFULI APETA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Magufuli kapeta 3 bora ,
Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro.
UCHAGUZI WA BURUNDI WAAHIRISHWA TENA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Askari wakiimarisha ulinzi wakati wa uchaguzi wa wabunge nchini Burundi.
URAIS UKAWA: WABUNGE UKAWA KUCHAGUA MGOMBEA URAIS
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatimaye leo wabunge wote wa vyama
vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanakutana na viongozi
wao wa jijini hapa kumchagua mgombea urais
ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MATUKIO YANAYOENDELEA MJINI DODOMA HIVI SASA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Majina matano ya waliopitishwa kwenye tano bora ya Wagombea
MPYA:Walioingia tano bora, wananchi wachoma kituo cha polisi na Dk.SLAA apitishwa UKAWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MWANANCHI
“Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.