The Teachers Service Commission (TSC) Bill 2015 was
tabled yesterday in the National Assembly and had all signs of being
endorsed but until the House proceedings closed it was not.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) Mkoa wa Mara, kimewaonya wanachama wake wanaosaka uongozi
waepuke kutumia fedha vinginevyo majina yao yatakatwa na kuchukuliwa
hatua kulingana na taratibu za chama hicho.