Msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’.
Chande AbdallahMAKUBWA HAYA! Msanii wa filamu Bongo ambaye ameingia kwenye listi ya waliotangaza nia kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kinondoni, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’ amedaiwa kuajiri mlinzi wake binafsi ili kujihami na maadui wake wa kisiasa.
Steve alinaswa na paparazi wetu akiwa analindwa na ‘bodigadi’ kila alipokuwa akienda ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Dar kulikokuwa na hafla ya uchangiaji waandishi wa habari, Media Car Wash na aliweka wazi kuwa hiyo yote imetokana na uamuzi wake wa kuingia kwenye siasa.
“Nimeambiwa na wazee kuwa nisiwe peke yangu, si unajua tumeingia upande wa siasa, ni mambo ya kiusalama zaidi ndiyo maana nimemwajiri huyu,” alisema Steve Nyerere baada ya kuulizwa kuhusu suala hilo.
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’
amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka
picha zenye mikao ya kihasara
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MPANGO wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET), inaofanywa na
idara ya sayansi ya siasa na utawala ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam
ulihahirishwa ghafla umevuja. Anaandika Faki Sosi.
In an effort to promote money saving culture among
Tanzanians, Exim Bank Tanzania is running a sensitisation campaign to
encourage its clients to open high return fixed deposit accounts.