Wednesday, 8 July 2015

STEVE NYERERE AAJIRI MLINZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 STEVE NYERERE AAJIRI MLINZIMsanii wa filamu Bongo, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’.

Chande Abdallah MAKUBWA HAYA! Msanii wa filamu Bongo ambaye ameingia kwenye listi ya waliotangaza nia kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kinondoni, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’ amedaiwa kuajiri mlinzi wake binafsi ili kujihami na maadui wake wa kisiasa.

Steve alinaswa na paparazi wetu akiwa analindwa na ‘bodigadi’ kila alipokuwa akienda ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Dar kulikokuwa na hafla ya uchangiaji waandishi wa habari, Media Car Wash na aliweka wazi kuwa hiyo yote imetokana na uamuzi wake wa kuingia kwenye siasa.

“Nimeambiwa na wazee kuwa nisiwe peke yangu, si unajua tumeingia upande wa siasa, ni mambo ya kiusalama zaidi ndiyo maana nimemwajiri huyu,” alisema Steve Nyerere baada ya kuulizwa kuhusu suala hilo.
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY 08 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
.
Share:

New AUDIO | Mwana FA, Christian Bella, Nikki Wa Pili & Ruby - TANZANIA MPYA | Download/Listen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

New AUDIO | Koku feat Bushoke - Nakuwaza | Download/Listen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

KATI YA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM NI NANI UNAFIKIRIA ATANGAZWA JULY 11, 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

UTAJIRI WA SUPER STAR DIAMOND PLATINUMS

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Saudia Arabia yaishambulia Hospitali nchini Yemen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia hopistali inayomilikiwa na Ujerumani huko katika mkoa wa Hajjah kaskazini magharibi mwa Yemen. 

Kanali ya habari ya al Masirah imetangaza leo kuwa watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa kwenye shambulio hilo. 
Share:

Tuesday, 7 July 2015

Spika wa Bunge Kutengua Adhabu ili Wabunge Wahudhurie Hotuba ya Rais

INNOCENT-THE BLOGGER
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa kuna mpango wa haraka
Share:

Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara
Share:

RAMADHAN SINGANO ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA SIMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ramadhani Singano 'Messi'.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo limeamua kuwa, mchezaji Ramadhani Yahya Singano 'Messi' ni huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.
Share:

Utafiti REDET: Edward Lowassa aling’ara

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MPANGO  wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET),  inaofanywa na idara ya sayansi ya siasa na utawala ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ulihahirishwa ghafla umevuja. Anaandika Faki Sosi.
Share:

MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEPATA AJALI BAADA YA HELIKOPTA ALIYOKUWA AKIITUMIA KUKUMBWA NA DHORUBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Kwa  taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya Leguruki.

Share:

Bank embarks on promoting high yielding long-term saving options

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
 In an effort to promote money saving culture among Tanzanians, Exim Bank Tanzania is running a sensitisation campaign to encourage its clients to open high return fixed deposit accounts.
 
Share:

Ministry forms an agency to track disease origin, spread

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
The Minister of Health and Social Welfare Dr Seif Rashid
 The Ministry of Health and Social Welfare has formed an agency responsible to investigate patterns and causes of disease and injury in humans.
Share:

City flood victims allocated new land

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadick
 The short video that Matilda Kasele plays on her phone shows water rushing into her house, submerging all her belongings.
 
Those images are all that she and her family have left of their home after a barrage of floods in May destroyed the building and all their belongings.
Share:

Businesses: Chinese logistics centre won't benefit locals

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dr Reginald Mengi (L) receives music system as a gift from Jeddah Hasabubaba at the end of the meeting. Right is the chairman of the Tanzania business community association Johnson Minja.
Share:

Two former cabinet ministers jailed three years Both convicts to appeal ruling

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAILED: Former senior cabinet ministers Basil Pesambili Mramba (75) (R) and Daniel Yona (74) board a police van heading to prison after the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam handed them jail sentences yesterday. (Photo: Tryphone Mweji)
 Two former cabinet ministers were yesterday sentenced to three years in jail 
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger