INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kigoma South MP David Kafulila.
Kigoma South MP David Kafulila yesterday wrote a
letter to National Assembly Speaker Anne Makinda seeking that she orders
the government to submit an investigative report on the scandal over
the controversial purchasing...
Saturday, 27 June 2015
Water thefts: DAWASA fingers brick makers.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority (DAWASA)
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority
(DAWASA) has declared that among the most notorious companies associated
with illegal water connection are owners of the brick factories
operating...
Govt to re-do elephant census in Ruaha-Rungwa ecosystem.
INNOCENT-THE BLOGGER BOY
Minister Lazaro Nyalandu.
As elephants get depleted at a fast speed in various
national parks and game reserves in the country the government will
again carry-out validation exercise on the exact number of jumbos in
Ruaha-Rungwa ecosystem in the southern...
Media Bill officially withdrawn.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Minister of State in the President's Office (Special Duties), Prof. Mark Mwandosya.
The government has officially confirmed withdrawal
of Access to Information Bill, 2015 which was scheduled to be tabled in
the House today, saying that the bill...
Govt endorses One Stop Border Posts Act, 2015.
INNOCENT-THE BLOGGER BOY
Finance Deputy Minister, Adam Malima.
Government has endorsed the One Stop Border Posts
Act, 2015 to facilitate smooth movement of people and goods within the
East African Community (EAC)region.
&nbs...
KONDA APIGA VIROBA, AZIMA!
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KONDAKTA mmoja wa daladala ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja, juzikati alinaswa mchana akipiga pombe aina ya
kiroba kisha kuzidiwa na ulevi hadi kufikia hatua ya kutojitambua.
Konda huyo alinaswa majira ya saa 9 alasiri maeneo ya Stendi ya Buhongwa, wilayani Nyamagana, mkoani Mwanza.
Kwa mujibu wa mmoja wa mashuhuda waliokuwepo eneo hil...
MSANII AMRITHI KAPTENI JOHN KOMBA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KUELEKEA Uchaguzi Mkuu 2015 utakaofanyika Oktoba 25, mwaka
huu, msanii ambaye ni kiongozi wa Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre
linalorusha mchezo wake kupitia Televisheni ya ITV, Daudi Mponji a.k.a
Lazi amerithi mikoba ya aliyekuwa mtunzi wa nyimbo za kuhamasisha za
Chama Cha Mapinduzi (CCM), marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia
Februari 28, mwaka huu.
Akizungumza...
Kwa Mwanangu Nitakayemzaa
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ABIKANILE
anazidi kuandamwa na misukosuko ya kutisha. Alinusurika kifo siku
waliyouawa wazazi wake na siku aliyouawa mpenzi wake Mathius, lakini pia
katika hali ambayo hakuitegemea usiku wa siku hiyo aliyouawa Mathius
aliingia mikononi mwa vijana wanne waliompeleka kwa mganga wa kienyeji
ndani ya msitu...
Jamani Dada Martha… Looo!-16
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:
Martha ndiye aliyekuwa mchokozi pale
kitandani. Alimshikashika Roi kwa kuanzia kichwani, akaja kifuani,
akampa kidole chake kwenye kinywa, Roi akakipokea, akamlalia kifuani
huku akianza kuhema kwa staili ya mahaba.
Mara, mlango mkubwa wa kuingilia sebuleni uligongwa…
“Mh! Martha! Si jamaa yako huyo kweli?”
JIACHIE NAYO MWENYEW...
VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KAJALA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
read more about Kajala story here down>>>>
Kajala Masanja ‘Kay.
Masanja ‘Kay’ amezua miguno na mishangao miongoni mwa wapenzi na wadau wa burudani...
UGONJWA WA BANZA UNAWAUMIZA VICHWA MADAKTARI, HALI MBAYA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
please pray for BANZA STONE
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ akiugulia.
INASIKITISHA sana! Wakati hali
ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani
Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani...
Godbless Lema Aahirisha Maandamo Kukutana na Jaji Mutungi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Read the followings story consines Godbless Lema>>>>>
MBUNGE
wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesitisha maandamano ya
kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza muda katika vituo
vya uandikishaji, kufuatia mazungumzo yake na msajili...
FAIZA: MIMI NI WA NUSU UTUPU TANGU UTOTONI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph
Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama
ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa...
JK, BABU SEYA KUONANA USO KWA USO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nguza Vicking Babu Seya, (kulia) na Mtoto wake Papii Nguza.
Haruni Sanchawa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza ya Ukonga jijini Dar, ana ratiba ya kuzungumza na maafande na maafisa wa...