Mwenyekiti
wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mh FREMAN MBOWE amewasili
leo katika stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa
wakiendeah mgomo wa kuwataka serikali iwasikilize shida zao.mh Mbowe
ambaye aliwasili hapa majira ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika
wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine
Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo
mmoja utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,
wenyeji timu ya Azam FC watawakaribisha Mabingwa wapya wa ligi hiyo
msimu huu timu ya Young Africans.
Madereva wametangaza kumaliza mgomo baada ya kufikia muafaka na
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na kuundwa kwa kamati
itakayosimamia matatizo ya madereva na kutoa taarifa baada ya siku
saba.
Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda
cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike
wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri.
Binadamu wamepoteza utu! Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa
jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua
kisha kukiweka kichanga kwenye begi