INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mpendwa
msomaji wa blog yetu tunaendelea kukuhakikishia habari kila wakati
zenye uhakika,hatimae TAMISEMI wameachia majina waliyokuwa
wanayarekebisha,majina mengine yaongezwa. Endapo utapenda kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO PAUL PAUL(AJIRA-UALIMU DIPLOMA-ARTS)
Mpendwa msomaji wa blog yetu tunaendelea kukuhakikishia habari kila wakati zenye uhakika,hatimae TAMISEMI wameachia majina waliyokuwa wanayarekebisha,majina mengine yaongezwa. Endapo utapenda kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO PAUL PAUL(AJIRA-UALIMU DIPLOMA-ARTS)
Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar
Viongozi
mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye
Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim
Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi
kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam
leo.Picha zote na Hamis Makuka.
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (katikati) akizungumza jambo,
kulia ni Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania kutoka BASATA, Kurwijira
Maregesi pamoja na Msimamizi wa Mahesabu na Utawala kutoka AUDITAX.
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa
watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko
Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi
hiyo. Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale
waliotekwa mwaka mmoja uliopita na kundi la kiislamu katika eneo la
Chibok.