Kuna taarifa kuwa basi la Jordan limepata ajali mida hii huko Nzega
lilikuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha idadi ya vifo na majeruhi bado
haijajulikana tutazidi kupeana taarifa,inaelezwa watu nane
Serikali hutoa huduma ya chakula kwa Shule za
Sekondari za Bweni na Shule za Msingi Elimu Maalum za Bweni kwa
kuzingatia fedha zilizotengwa na upatikanaji wake katika mwaka husika.
Fedha za chakula hutolewa kwa awamu na kukamilishwa katika kipindi cha
mwaka wa fedha unaotekelezwa. Fedha hizi hupelekwa katika Halmashauri na
baadaye watoa huduma hulipwa kwa kuzingatia huduma waliotoa kwa kila
shule.