INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wednesday, 15 April 2015
NEWS:"JESHI LA POLISI LAWAKAMATA WATU 10 WAKIWA NA BENDERA YA KUNDI LA KIGAIDI LA AL-SHABAAB LA SOMALIA NA MILIPUKO 30 MOROGORO."-READ MORE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baadhi ya vifaa vilivyokamatwa msikitini na polisi ambapo
Baadhi ya vifaa vilivyokamatwa msikitini na polisi ambapo
BASI LA AIR JORDAN LAPATA AJALI
Tuesday, 14 April 2015
MPYA:"TAARIFA KUTOKA TAMISEMI KUHUSU AJIRA ZA WALIMU WAPYA 2014/2015"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Huduma za Chakula na Ajira Mpya kwa Walimu 2015.
OWM-TAMISEMI.
Serikali hutoa huduma ya chakula kwa Shule za
Sekondari za Bweni na Shule za Msingi Elimu Maalum za Bweni kwa
kuzingatia fedha zilizotengwa na upatikanaji wake katika mwaka husika.
Fedha za chakula hutolewa kwa awamu na kukamilishwa katika kipindi cha
mwaka wa fedha unaotekelezwa. Fedha hizi hupelekwa katika Halmashauri na
baadaye watoa huduma hulipwa kwa kuzingatia huduma waliotoa kwa kila
shule.