INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tafadhali changamkia fasta kuomba mwisho wa maombi kwa schoraliship nyingi ni tarehe 3,thank...
Friday, 20 February 2015
HAYA HAPA MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA NA VITUO VYAO-MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili kuboresha...
TAARIFA KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA KUJITOLEA NA KUDAI KUAJIRIWA NA SERIKALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JESHI
LA KUJENGA TAIFA
TAARIFA KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA
KUJITOLEA NA KUDAI KUAJIRIWA NA SERIKALI
Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai
10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa
malezi kuhusu uzalendo na...
Saturday, 14 February 2015
BREAKING NEWZ:MATOKEO KIDATO CHA NNE(NECTA) 2014 YATANGAZWA RASMI-ANGALIA HAPA MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT ,hatimae matokeo kidato cha nne 2014 yatangazwa rasmi .
Kama kawaida yetu Maswayetu blog tunaendelea...
Tuesday, 10 February 2015
TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUTUMA MAOMBI YA MAFUNZO YA STASHAHADA YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana...
BREAKING NEWZ:MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana...
Sunday, 8 February 2015
Tuesday, 3 February 2015
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA 02-02-2015,KOZI ZA FOOD SCIENCE,MICROBIOLOGY,BIOTECHNOLOGY
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (Orginal Certificates) mahali na tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.
EXAMINATION RESULTS: COMMITTEE CLERK- MDAs AND LGAs
...
Monday, 2 February 2015
Saturday, 31 January 2015
NEWS:MEYA MANISPAA MOROGORO, WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI-MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY(MASWAYETU BLOG)
Mkuu
wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ( wa kwanza kushoto) akiwa na
Mkuu wa wilaya ya Morogoro , Said Amanzi , wakipita eneo ambalo gari la
namba SM 4151 Nissan iliyokuwa ikitumiwa na Meya wa Manispaa ya
Morogoro, Amir Nondo , ilipogongwa...
Friday, 30 January 2015
AJIRA MPYA: WIZARA YA AFYA 2015