Tuesday, 27 January 2015

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 27 JANUARY 2015,KUBWA ZAIDI MAFUNZO JKT YASITISHWA,SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BO...
Share:

Monday, 26 January 2015

TANGAZO LA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA-KILIMO,MISITU NA WANYAMAPORI,OMBA HARAKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/34 23 Januari, 2015 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa  mujibu wa Sheria ya Utumishi...
Share:

Sunday, 25 January 2015

BARAZA JIPYA:ANGALIA HAPA MAJINA MAPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA JANA NA MH.J.KIWKETE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Wakati aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo jana mchana, Rais Jakaya Kikwete ametangaza marekebisho ya Baraza lake la Mawazir...
Share:

Saturday, 24 January 2015

MPYA:MATOKEO YA KIDATO CHA PILI ZANZBAR 2015 YATANGAZWA INGIA HAPA(MASWAYETU ) KUANGALIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                                      Endapo utahitaji kuangaliziwa MATOKEO YAKO TAFADHALI fanya yafuatayo; 1.Tuma jina...
Share:

DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA MWANA DADA LINAH FT CHRISTIAN BELLA-HELLOW

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                             KUDOWNLOAD WIMBO HUO CLICK HA...
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 24 JANUARY 2015-MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:

Thursday, 22 January 2015

BREAKING NEWZ:UHAMISHO KWA WATUMISHI 4352 WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa January 2015.                                                          ...
Share:

Tuesday, 20 January 2015

AJALI: ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI WALIOKUWA WAMEPANDA KUGONGANA USO KWA USO NA LORO TEGETA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta. Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya  miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori  moja lilionekana...
Share:

BREAKING NEWZ:BAADA YA UDOM,SASA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO NAO WAGOMA ,SOMA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY  Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo. Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM...
Share:

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5. Madawa hayo yalikutwa kwenye...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger