Monday, 8 September 2014

BREAKING NEWZ:ANGALIA ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA UDOM NA BUGANDO KOZI ZA PHARMACY,NURSING&LABORATORY KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                          


List of Selected Candidates, Continuing Candidates, Joining Instructions and Registration Forms


Diploma in Pharmaceutical Sciences (DPS)    



Diploma in Radiography (DDR)    



Diploma in Medical Laboratory Sciences (DMLS)    



Bachelor of Pharmacy (BPHARM)    



Bachelor of Science in Nursing Education (BSNE)    



Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)    



Doctor of Medicine (MD)    



Clinical Postgraduate (M.MED)    


Master in Public Health (MPH)    

 
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE leo tena tunawaletea majian ya wanafunzi wa liochaguliwa chuo kikuu cha dodoma na bugando kwa kozi tajwa hapo juu.

Kama ilivyo kawaida yetu Tunaendelea kutoa huduma kwa wale wote mtakaotaka kuangaliziwa majina yenu kama Umechaguliwa.
Fanya yafuatayo kuangaliziwa jina lako;
Share:

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA KA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                          
                                                 
WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO 
YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA
KA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka 
wa masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo waliv
yopangiwa tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining 
Instructions) zitatolewa na chuo husika na zitatumwa kwa walio
chaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa
 na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo. 
Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:
www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na 
TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz
Muhimu:

1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja
 la I hadi III
Share:

Thursday, 4 September 2014

BREAKING NEEEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA TAKRIBANI 12000 WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

 Habarri yenu tena wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG LEO TENA TUMEWALETEA majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo  vya ualimu mwaka wa masomo 2014/2015 .
Kama ilivyo kawaida yetu tutatoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote mtakao hitaji huduma yetu,ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo:

1.Tuma jina lako na shule uliyomalizia.
2.Tuma tsh.800 kwa mpesa kama huna mpesa tuma kwa salio kwenda namba 0768260834.(pesa ya huduma)

3.Hatutajibu mtu ambaye hatatuma pesa.
4.Kama unatumia tigo,airtel au zantel tafadhali tafuta mtu mwenye voda utume pesa hiyo hatupokei vocha number.
5.Utajibiwa mda mfupi mara tu utakapotuma pesa yako.
6.endapo utamtumia namba hii mwenzako mwambie atume pesa ndo atajibiwa.

USIPIGE SIMU TAFADHALI HATUTAPOKEA SIMU YA MTU YOYOTE

Kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini
Share:

Monday, 1 September 2014

KAMBI YA MAKUTUPORA JKT NA MGAMBO JKT YAPUNGUZA MAJINA TOKA HERUFI Z HADI E - YA WALIMU DIPLOMA YALIYOKUWAPO AWALI ,TAFADHALI MPE TAARIFA MWENZAKO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

HABARI YENU WADAU WA BLOG HII PENDWA YA MASWAYETU BLOG KATIKA KUFUATILIA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KWENDA JESI SEPTEMBER TUMEGUNDUA KUWA MAJINA YAAMEPUNGUZWA NA MENGINE YAMEBADILISHWA.
                                                    

YAFUATAYO CHINI NDIO MAJINA YA WALIMU WATAKAORIPOTI SEPTEMBER 13 2014,KAMA JINA LAKO HALIPO INA MAANA UTAKWENDA JANUARY 2015.

BLOG YA MASWAYETU INAPENDA KUTOA HUDUMA WA KUANGALIZIA MAJINA KWA WALE WATAKAOHITAJI KUJUA NA KUHAKIKISHA KUWA  WANAENDA KAMBI GANI.

ILI KUPATA HUDUMA HII UNATAKIWA KUTUMA SMS YENYE JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA MTIHANI. KWENDA NAMBA 0768260834,HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.500 AMBAYO UNATAKIWA KUITUMA KWA MPESA.(tafdhali usipige simu-HUTAJIBIWA KABLA YA KUTUMA PESA HIYO).
MPE TAARIFA NA MWENZAKO.
 KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Sunday, 31 August 2014

BREAKING NEEEWZ:MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI(SECOND SELECTION) TAKRIBANI 8101 KIDATO CHA TANO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                            

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa wa MASWAYETU LEO TUNAWELETEA MAJINA YA WANAFUNZI TAKRIBANI 8101 YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014/2015.
Kama ilivyo utaratibu wetu kuangalizia majina ya wale wote mtakaohitaji,tutaoa huduma hiyo.
Ili uwezue kuambiwa umechaguliwa shule gani tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA SHULE ULIYOMALIZIA KWA SMS KWENDA NAMBA 0768260834.
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU KIASI CHA TSHS.500
   AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA,KAMA UNATUMIA AIRTEL,TIGO AU ZANTEL TAFADHALI TUMA VOCHA YA JERO.

3.UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA.
NB:USIPIGE SIMU,TUMA KWANZA PESA NDO UJIBIWE,PESA YA HUDUMA ITUMWE KWENDA NAMBA 0768260834.
SOMA TAARIFA HIYO YA UCHAGUZI HAPO CHINI. 
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger