Thursday, 17 July 2014

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TAREHE 17 JULAI 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Usaili utafanyika sehemu zifuatazo:
1.COMPUTER SYSTEM ANALYST GRADE II (SYSTEM ADMINISTRATION) - USAILI WA VITENDO (PRACTICAL) utafanyika Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) tarehe 18 Julai 2014 saa 12:45 asubuhi
2.COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE
Share:

LORI LAPARAMIA KLABU YA POMBE NA KUUA WATU WATANO PAPO HAPO KATIKA KIJIJI CHA UGWACHANA HUKO IRINGA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu 5 wamekufa papo hapo wakiwemo watu watatu wa familia moja na wengine 3 kujeruhiwa vibaya baada ya lori la kubebea mizingo kuparamia nyumba ya kuuzia pombe katika kijiji cha Ugwachana, Manispaa ya Iringa. 
Share:

AJALI YA NDEGE: NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YAUA ABIRIA 295 UKRAINE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mwanajeshi mwasi akiwa karibu na eneo kulikoanguka ndege hiyo ya Malaysia.
Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka
Share:

NAPE NNAUYE ATOA TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp2inQE7B9ca0UVyeb1uBuXNFj2dTRdX5vgagpVZkixYhC1cHTXc64jzKIv42RvIHyap4IYT0idPCZxI4pkdsvCRBoXZJj91C1GYqMKbsFsqnd62g8cr1dmfsKpugmU2ZNmVPQFeyHSQw/s1600/MMGM4299.jpg
Jana tarehe 16/07/2014 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ilifanya kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es salaam. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Share:

MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA SEKRETARIETI YA AJIRA TAREHE 16 JULAI 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 16 JULAI 2014
                                             
 Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili wa mahojiano wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates)
MUDA:     Saa moja kamili asubuhi
MAHALI:  Ofisi za Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)

PRINCIPAL  REGISTRATION OFFICER           
NA  EXAMINATION NUMBER  SCORE    REMARKS
1    PSRS-PRINC REGIST-008    80    SELECTED
2    PSRS-PRINC REGIST-003    80    SELECTED
Share:

IRINE UWOYA ,AFANYA FUJO KWA MUME WA MTU,SOMA HAPA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake (jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ‘nyumba ndogo’. 
Share:

BABY MADAHA ALIA ,KISA UNAJUA NI NINI?SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’
 STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa.
Share:

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA USHETU,ANUSURIKA KUPIGWA RISASI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wake.
Share:

LULU AWEHUKA UKUMBINI GHAFLA,SOMA HAPA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 17/07/2014 ,KUBWA ZAIDI MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

1_ff647.jpg
Share:

MAJINA YA WALIMU WALIOPANGIWA KAMABI YA BULOMBORA JKT- KIGOMA

KUTOKANA NA KUPIGIWA SIMU NA WATU WENGI NIMEAMUA KUWEKA MAJINA YA WALIMU WAIPANGIWA JKT 2014
AU KAMA HUTALIONA JINA LAKO KABISA NIPIGIE +255768260834 NIKUANGALIZIE.
                                                                           vijana_6.jpg
NAMKOANAMBA YACHUOJINA LA CHUOJINSIJINA LA MTAHINIWA
1 KAGERA E0585 ST. FRANCIS NKINDO TEACHERS' COLLEGE F ABELLA CLEMENCE
2 DODOMA E0508 MPWAPWA TEACHERS' COLLEGE F ADAH S JAGWASY
3 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F ADASIA JONATHAN
4 NJOMBE E0528 TANDALA TEACHERS' COLLEGE F ADELA ALOICE MTUI
5 RUKWA E0618 AGGREY CHANJI TEACHERS' COLLEGE F ADELA DAMAS CHOGA

 

Share:

Wednesday, 16 July 2014

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 YATANGAZWA,95.98% WAFAULU,IGOWOLE YAONGOZA FEZA YA PILI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatimae matokeo ya kidato cha sita 2014 yatangazwa ,
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa


SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAR.16/07/2014,KUBWA ZAIDI NI ,CHADEMA YAJA NA MKAKATI MPYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

BAADA YA SHILOLE KUKATALIWA,HATIMAE SHILOLE AMTETEA SERENGETI WAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri.
Share:

HATIMAE WAPENZI WA DIAMOND,WEMA NA PENNY BIFU LAISHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MSANII WA BONGO MOVO MONALISA AFANYIWA SHEREHE,SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

BREAKING NEWZ: JESHI LA KUJENGA TAIFA LATANGAZA MAJINA YA WALIMU WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI HAPA NCHINI WATAKAOENDA JKT VIKOSI MBALIMBALI TANZANIA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                         

Hatimae jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger