Tuesday, 5 October 2021

MITANDAO YA WHATSAPP, INSTAGRAM NA FACEBOOK YAZIMWA GHAFLA

...



Watumiaji wa Mitandao ya Facebook,Instagram na WhatsApp maeneo mbalimbali duniani wamekumbwa na changamoto ya kutofikia huduma kuanzia majira ya saa 12 jioni ya Oktoba 4,2021 ambapo baadhi yao wamejikuta wakiongeza salio la data/MB wakidhani bando limeisha kumbe la!

Hata hivyo Kampuni ya Facebook imethibitisha kwamba Mitandao yake ya Facebook,Instagram na WhatsApp imepata tatizo na kufanya baadhi ya Watumiaji kushindwa kufanya chochote kwenye Account zao, kwenye taarifa yao wameomba radhi na wamesema wako kazini kulitatua tatizo.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger