Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari akipanda miti katika viwanja vya Half London, Hai, Kilimanjaro Tunaadhimisha Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yenye kauli mbiu “Kurejesha Mfumo wa Ikolojia” kwa kupitia mkakati wetu wa #TigoGreenForKili tunarejesha mazingira mazuri yanayozunguka Ml. Kilimanjaro kwa kupanda miti 28,000 mwaka huu. |
KILIMANJARO YETU: Urithi wetu uko mikononi mwetu, tunapanda miti kuhakikisha theruji ya mlima huu mrefu barani Afrika haipotei kutokana na shughuli na mabadiliko ya tabia nchi. |
Jackson Haule- Mwakilishi kutoka NEMC akipanda Mti kama mkakati wa kurejesha mazingira salama mkoa wa Kilimanjaro. |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Northern Engineering wakipanda Miti kama ishara ya kurejesha hadhi ya Ml Kilimanjaro na kuifanya Kilimanjaro ya kijani ten |
Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari akipanda miti katika viwanja vya Half London, Hai, Kilimanjaro Tunaadhimisha Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yenye kauli mbiu “Kurejesha Mfumo wa Ikolojia” kwa kupitia mkakati wetu wa #TigoGreenForKili tunarejesha mazingira mazuri yanayozunguka Ml. Kilimanjaro kwa kupanda miti 28,000 mwaka huu. |
HATUNA BUDI “Mabadiliko ya tabia ya nchi na shughuli za kibinadamu yameathiri Mazingira ya Mlima Kilimanjaro hivyo hatuna budi kuchukua tahadhari ndio mana kupitia #TigoGreenForKili tutaweza Kurejesha Mfumo wa Ikologia”. Asifiwe James - Mkurugenzi @voewofo |
LENGO KUU “Dhima ya mwaka huu #SikuYaMazingiraDuniani yenye kauli mbiu Kurejesha Mfumo wa Ikolojia, inaendana na mkakati wetu wenye lengo la kurejesha hadhi ya mlima Mrefu barani Afrika kupitia mkakati wa #TigoGreenForKili kupanda miti 28,000 mwaka huu” Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari |
“Mazingira ni muhimu & ni chanzo cha uhai wetu, hatuna budi kuyatunzq ili yatutunze hasa kupitia mkakati huu ambao @tigo_tanzania wamekuja nao” Jackson Haule- Mwakilishi kutoka NEMC |
Tumeanza rasmi maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yenye kauli mbiu “Kurejesha Mfumo wa Ikolojia”. Kupitia mkakati wa #TigoGreenForKili tumedhamiria kurejesha mazingira mazuri yanayozunguka Ml. Kilimanjaro kwa kupanda miti 28,000 mwaka huu. Kupitia michango mbalimbali kutoka kwa wadau mbalimbali tumeweza na tunaendelea kupanda miti katika maeneo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro. . Tunapongeza & kuwashukuru wadau wetu wote walioitikia wito huu |
0 comments:
Post a Comment