Nafasi za kazi Kampuni ya Gvenwear
Nafasi 3
Kitengo cha ushonaji
Sifa za muombaji
👉Awe kijana wa kike/ kiume mwenye umri kuanzia miaka 20
👉Awe anajua kushona nguo na utayari wa kujifunza zaidi
👉Ajue kusoma na kuandika.
Tunapokea maombi pia
kwa waombaji waliopo nje ya mkoa wa Shinyanga, ofisi ina nyumba kwa ajili ya wafanyakazi wake.
Maombi ya kazi yatumwe kupitia Email : grace.kaiza@gmail.com
Simu/Whatsapp : 0767926671 au 0745222240
Au fika ofisi za Gven Wear zilizopo mkabala na Benki ya NMB Manonga Mjini Shinyanga
Mwisho wa kutuma maombi Julai 20,2021
0 comments:
Post a Comment