Monday, 20 July 2020

Mussa Azzan Zungu Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Ilala

...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu ameongoza kura za maoni katika katika Jimbo la Ilala baada ya kupata kura 148 akifuatiwa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo, Sophia Mjema aliyepata kura 103.


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger