Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefurika wafuasi wa Chadema na ulinzi umeimarishwa kwa askari kila kona kabla ya muda wa hukumu.
Wafuasi hao walianza kumiminika eneo la mahakama tangu saa moja asubuhi wakisubiri hukumu ya vigogo wa Chadema akiwemo Mwenyekiti, Freeman Mbowe
Hukumu hiyo ilitarajiwa kusomwa saa nne na nusu asubuhi lakini imesogezwa mbele hadi saa saba na nusu mchana
Hukumu hiyo ilitarajiwa kusomwa saa nne na nusu asubuhi lakini imesogezwa mbele hadi saa saba na nusu mchana
0 comments:
Post a Comment