Tangazo ! Tangazo ;
Uongozi wa shule za lake Tanganyika zilizopo kijiji cha Mkigo wilaya ya kigoma vijijini mkoani kigoma unapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2020 kama ifuatavyo;
Uongozi wa shule za lake Tanganyika zilizopo kijiji cha Mkigo wilaya ya kigoma vijijini mkoani kigoma unapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2020 kama ifuatavyo;
1.Nafasi za masomo kwa nursery, darasa la kwanza, pili na tatu
2.Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza,na pia nafasi za kuhamia kwa kidato cha pili na tatu
3.Pia kuna nafasi kuhamia za kidato cha tano kwa comb HGK,HKL,HGL
Shule ina mazingira mazuri na ina walimu wazoefu
Shule za lake Tanganyika zinamilikiwa na waktisto (SDA )
Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa awamu nne kwa mwaka kwa upande wa secondary ada kwa mwaka ni 700000/= laki saba tu,na A- level karo ni laki saba na hamsini elfu ,750000/= na kwa upande wa primary ada ni laki Tisa 900000/= tu kwa mwaka
Nyote mnakaribishwa lake Tanganyika high school and pre and primary English medium
Shule zote ni za bweni na kutwa kwa primary tu na pia ni mchanganyiko wavulana na wasichana
Karibu lake Tanganyika ndo suhulisho la mwanao
Kwa mawasiliano; 0769697667
0763091810
0756417203
0742208879
0692212326
0 comments:
Post a Comment