Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment