Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima akiongea na sehemu ya wafungwa 23 walioachiwa katika gereza la Musoma kati ya wafungwa 259 waliofaidika na msamaha wa Rais Mkoani humo.
Mhe Malima, ambae alikuwa ameongozana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya mkoa wa Mara (RAS) Mhe. Carlo Mthaphula, amewataka wafungwa hao wakamlipe fadhila waliyopewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kwenda kutenda mema na ya maendeleo katika jamii badala ya kuanza uhalifu upya.
0 comments:
Post a Comment