Friday, 13 September 2019

PICHA: Waziri Mkuu Azindua Mfumo Wa Uendeshaji Bunge Kidigitali

...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger