Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) (aliyesimama akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Shirikisho la Tasisi za TEHAMA Afrika Mashariki(EACO) Jijini Mwanza, Julai 5, 2019. Wengine pichani katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jones Killimbe Mkurugenzi Mkuu, TCRA Mhandisi James M. Kilaba. Mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi wanachama za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini.
Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
Wadau wa sekta ya mawasiliano nchini.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe (Mb), (wapili kulia), akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James M. Kilaba (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya TCRA, Dkt. Jones Killimbe (watatu kulia) na Mtendaji Mkuu wa EACO, Dkt. Ally Simba.
Meza kuu wakiwa wamesimama kwa heshima wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Kikundi cha Wachezaji Ngoma cha BUJORA Kikibudisha Vongozi na Washiriki kwenye Mkutano Mkuu wa EACO, Mwanza
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) (wapili kulia) akitoka baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Tasisi za TEHAMA Afrika Mashariki(EACO) Jijini Mwanza, Julai 5, 2019. Wengine pichani kutoka kulia, mwakilishi wa Katibu Mkuu (Mawasiliano) Bw.Mulembwa Manuku, Mkurugenzi Mkuu, TCRA Mhandisi James M. Kilaba na Mtendaji Mkuu wa EACO Dr. Ally Simba.
0 comments:
Post a Comment