
Dakika 90 za Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba zimemalizika Lubumbashi nchini Congo.kwa TP Mazembe kuibugiza Simba SC Mabao 4 -1.
Wafungaji Magoli
Emmanuel Okwi dk ya 2 Simba SC
Chongo dk ya 23 TP Mazembe
Elia Meshack dk ya 38 TP Mazembe
Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe
Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe
0 comments:
Post a Comment