Monday, 8 April 2019

Spika Ndugai akabidhiwa wito wa wananchi 15,000 Waliopinga Bunge kutofanya kazi na CAG Profesa Assad

...
Wakati kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad  ikifikisha zaidi ya watu 15,000, waraka wa kampeni hiyo umefikishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai

Waandaaji wa kampeni hiyo ambao ni Taasisi ya Change Tanzania wamesema leo Jumatatu Aprili 8, 2019 kuwa maoni hayo yaliyokusanywa yamefikishwa ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam na mengine yakitarajiwa kutumwa jijini Dodoma kuanzia kesho Jumanne.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger