Ruge Mutahaba ambaye alikuwa mmoja kati ya waasisi wa Clouds Media, atazikwa leo Jumatatu Machi 4, 2019 huko nyumbani kwao Bukoba.
Mapema jana mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba uliwasili kiwanja cha ndege cha Bukoba majira ya saa 3 asubuhi na kupokewa na maelfu ya watu.
Wakati mwili umewasili jana wakazi wa Mji huyo walionekana wakilia kwa uchungu baada ya kumpoteza Ruge ambaye anadaiwa amewafungulia njia watu wengi.
0 comments:
Post a Comment