Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, makalio ya mwanadamu yanaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni ( 1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na ( 3 ) Mafuta . Vitu vyote hivi vitatu vinafunikwa na ngozi.
Kwa mantiki hiyo basi , ukubwa na shape ya makalio ya mtu hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha hapo juu yani uwingi na ukubwa wa misuli, tishu pamoja na uwingi wa mafuta kwenye makalio.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa mtu anaweza kufanya mazoezi maalumu kwa ajili ya kukuza misuli ya kwenye makalio.
Vile vile inawezekana kwa mtu kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta kwa ajili ya kuongeza kiasi cha mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo wana sayansi wana tahadharisha kuwa kula vyakula vyenye mafuta kwa lengo la kuongeza ukubwa wa makalio kunaweza pia kusababisha mafuta hayo kwenda katika sehemu zingine za mwili yani mtu kuongezeka pia katika sehemu mbalimbali za mwilini mwake kama vile tumbo na kunenepa mwili mzima.
Jinsi dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinavyo fanya kazi.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinafanya kazi kwa kukuza misuli ya kwenye makalio na kuongeza kiwango cha mafuta kwenye ngozi ya ndani ya makalio.
Katika kuongeza kiwango cha mafuta kwenye makalio, dawa hizo za asili hufyonza mafuta kutoka katika sehemu mbalimbali za mwili na kuyaelekeza kwenye makalio na hivyo kumfanya makalio ya mtumiaji yaongezeke na kuwa makubwa.
Kwa kawaida dawa nyingi za asili zinazo tumika kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa makalio hutumika kwa muda wa siku thelathini na huanza kuonyesha matokeo baada ya siku kumi na tano.
Kwa maoni na ushauri kuhusu tiba mbalimbali za asili, fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0693 005 189.
Na kwa elimu zaidi kuhusu tiba mbalimbali za asili, tutembelee kila siku kupitia tovuti yetu :
0 comments:
Post a Comment