INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea
Ubunge wa Jimbo laMbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda
Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika
viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba
kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka
0 comments:
Post a Comment