Tunajua wengi mnazisubiria hizi form kwa hamu sana na mnataka mjue gharama za mafunzo kwa chuo ulichochaguliwa.
Kama kawaida yetu tupo hapa kusaidia watu wote wanaohitaji hizi form za kujiunga na chuo husika.
Ili kujipatia joining instructions ya kozi ulichaguliwa unatakiwa kufanya yafuatayo;
1.Tuma Email address yako
2.Tuma gharama za kutumiwa joining hii Tsh.1000 kwa Mpesa
3.Ukishatumiwa kwenye email yako ,nenda staionary yoyote mpe email yako ata kuprintia kwa gharama ndogo zaidi,tofauti na ukienda kama ulivyo kwani gharama yake ni tsh.1500 hadi 2000.
4.Tafadhali tuma email yako na chuo ulichochaguliwa kwenda namba 0768260834,then tutakutumia baada ya Mda si mrefu.
5.Maswayetu blog tuna joining za vyuo vipatavyo 42.
NOTE:TUMEFANYA HIVI KUTOKANA NA WATU WENGI KUTOKUWA NA UWEZO WA KUWA NA INTERNET,PIA KAMA UPO SIMIYU-MASWA UNAWEZA UKAPIGA HIYO NAMBA MOJA KWA MOJA KUJIPATIA JOINING YAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO.,KWANI NITAKUPATIA KWA GHARAMA YA tsh.700 tu.
Pia faida kubwa ya kutumia huduma zetu,Utaweza kujibiwa Maswali mbalimbali yanayokutatiza.
BONYEZA HAPA KUPATA JOINING HIZO 2015/2016
0 comments:
Post a Comment