Monday 22 April 2024

Wimbo Mpya : BAHATI BUGALAMA - SIMU

Share:

Ngoma ya Motoo ; MSANII MDOGO KULIKO WOTE JINASA MADEBE - HAKI ZA WATOTO

 
Msanii wa nyimbo zaa asili mdogo kuliko wote Jinasaa Madebe ambaye ni mtoto wa Manju maaarufu Madebe Jinasa anakualika kutazama video yake mpya inaitwa Haki za watoto

Share:

Sunday 21 April 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 22, 2024





Share:

RAIS SAMIA AFANYA MAGEUZI HUDUMA BORA ZA AFYA, KILIMO

 


Na Mwandishi Wetu, 

Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora ya afya  pamoja na ruzuku ya mbolea kwa wakulima katika Mkoa wa Ruvuma.

Mhe. Jenista ameyasema hayo wakati wa ziara ya  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, Dkt. Emmanuel Nchimbi mkoani Ruvuma.

Share:

MSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZA NA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA PERSEUS

 

DODOMA

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, Aprili 20, 2024 amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Jeff Quartermaine pamoja na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni hiyo, Lee Anne de Bruin.

Kampuni ya PERSEUS imenunua hisa za Kampuni ya ORECORP iliyokua inamiliki mgodi wa Nyanzaga uliopo Geita.

Kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine, Perseus imekubali kuongeza asilimia 4 ya hisa za Serikali "Free Carried Interests" na kuifanya Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 20 ya mgodi huo kutoka asilimia 16 za awali.

Share:

Saturday 20 April 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRILI 21, 2024


 
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger