Thursday 19 May 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 19,2022

Magazetini leo Alhamisi May 19,2022

Share:

BENKI YA EQUITY YAZINDUA KAMPENI YA ‘ISHI KISASA PESA MZIGO’'

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki Ya Equity (T) Isabella Maganga ( katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya 'Ishi Kisasa Pesa Mzigo'. Kampeni hiyo inahamasisha utumiaji wa huduma za Kibenki kidijitali kama njia mbadala wa kupata huduma za kibenki pamoja Shughuli zote zinaweza kutatuliwa kwa wakati na kwa usalama kwa kukamilisha miamala yao na malipo kwa kutumia simu zao kiganjani, kadi zao za benki na Internet Banking popote pale walipo. Kutoka kushoto ni Meneja Mwandamizi Kitengo cha Malipo, Victor Wairimu na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Grace Magige.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki Ya Equity (T) Isabella Maganga ( katikati), Meneja Mwandamizi Kitengo cha Malipo, Victor Wairimu na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Grace Magige wakizidua Kampeni ya 'Ishi Kisasa Pesa Mzigo'. Kampeni hiyo inahamasisha utumiaji wa huduma za Kibenki kidijitali kama njia mbadala wa kupata huduma za kibenki pamoja Shughuli zote zinaweza kutatuliwa kwa wakati na kwa usalama kwa kukamilisha miamala yao na malipo kwa kutumia simu zao kiganjani, kadi zao za benki na Internet Banking popote pale walipo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Equity wakipiga picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Share:

Wednesday 18 May 2022

Picha : RC MJEMA AKUTANA NA WAZEE WA MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Mjema amekutana na wazee wa mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kujitambulisha, kusikiliza changamoto zinazowakabili wazee na kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022

Wazee na wadau wakiwa kwenye Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Mkazi wa kata ya Mwamala Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Tangawizi Nkani Elias (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema sanamu ya Rais Samia Suluhu aliyochora na huwa anatembea nayo mtaani ishara ya upendo kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Simbani Liganga akizungumza kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizungumza kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Mzee Alley Juma akisoma taarifa ya Baraza la Wazee Mkoa wwa Shinyanga kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Festo Kiswaga akizungumza kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Manispaa ya Shinyanga, Zengo Mikomangwa akizungumza kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022
Mwenyekiti wa Baraza la wazee CCM Mkoa wa Shinyanga, Ziporah Pangani akizungumza kwenye Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema  na Wazee wa Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger