Thursday 9 October 2014

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WA MZUMBE UNIVERSITY WALIOPATA MKOPO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO MZUMBE 2014/2015
Habari yenu?
Yafuatayo ni majina ya wanfunzi waliopata mkopo mwaka wa masomo 2014/2015 kwa chuo cha mzumbe 2014/2015.
MASWAYETU BLOG inaendelea kutoa huduma kwa kuangalizia watu majina yao,kama utahitaji kuangaliziwa jina lako kama lipo kati ya waliopata mkopo fanya yafuatayo na utajibiwa ndani ya dk.1 tu
1.TUMA JINA LAKO MFANO MUSSA DAUD (MZUMBE)kwenda namba0768260834
2.Huduma hii itakugharimu tsh.900 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834
Share:

Wednesday 8 October 2014

BREAKING NEWZ:KUTOKA HESLB HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WA UD-MUCE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                 

 Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG hii pendwa 

ya MASWAYE EXCLUSIVE BLOGSPOT  Haya hapa chini majina ya wanafunzi waliopata mkopo chuo kikuu cha MUCE mwaka wa masomo 2014/2015.
Maswayetu blog tunaendelea kutoa huduma kukuangalizia wewe uliyechaguliwa sua Umepata mkopo kiasi gani.
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;

1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 mfano 
Tuma heter (muce)

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSH.900 TU AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.

3KAMA UNATUMIA AIRTEL AU TIGO TUMA KWA TIGO PESA KWENDA NAMBA 
TAJWA HAPO JUU.

4.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU.TUMA PESA KWANZA NDO UJIBIWE.

KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI(MWAKA WA KWANZA,WANAOENDELEA NA GRANTED) WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU CHA SUA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT  Haya hapa chini majina ya wanafunzi waliopata mkopo chuo kikuu cha SUA mwaka wa masomo 2014/2015.
Maswayetu blog tunaendelea kutoa huduma kukuangalizia wewe uliyechaguliwa sua Umepata mkopo kiasi gani.
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSH.1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.
3KAMA UNATUMIA AIRTEL AU TIGO TUMA KWA TIGO PESA KWENDA NAMBA
  TAJWA HAPO JUU.

4.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU.
KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;\
Share:

DOWNLOAD RATIBA YA SUPLEMENTARY/SPECIAL EXAM KWA WANA UDOM HAPA COLLEGE ZOTE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 

Supplimentary Timetable
College of Natural and Mathematical Sciences
College of Education
College of Earth Sciences (CoES)
Share:

Tangazo kwa Wanafunzi wa Stashahada Maalumu ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
        
slide5
Mabadiliko ya tarehe ya kuanza masomo:
Chuo kikuu cha dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na stashahada ya ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati kuwa, wanatakiwa kuripoti chuoni hapa tarehe 8 Novemba, 2014.
Wanafunzi hawa ni wale tu waliodahiliwa kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE).
Share:

Tuesday 7 October 2014

BREAKING NEWS:2ND SELECTION YA MAJINA WALIOCHAGULIWA UDOM HII HAPA DIPLOMA SAYANSI NA HISABATI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wadau kwanza poleni sana kwa wale wote mlioangalia majina yenu katika majina yaliyotolewa na UDOM kama 1st batch 
slide3na hamkuwemo sasa yametoka majina ya awamu ya pili pia fanya haraka udownload admission letter yako mapema kabla ya kufungua chuo;
Endapo utahitaji huduma yoyte kutoka MASWAYETU BLOG TEAM tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0768260834 tutakujibu kwa gharama ya tsh.500 tu.
Share:

Monday 6 October 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIO OMBA VYUO KUPITIA NACTE WANAOTAKIWA KUFANYA APPLICATION UPYA 2014/2015

Kama kawaida yetu maswayetu blog tunatoa huduma ya kungalizia watu majina yao endapoUnatakiwa kufanya selection upya tena
 ;huduma yetu utatozwa tshs.900 tu ambayo utaituma kwa mpesa. 
1.Tuma  jina lako kamili.mfano(john paul-nacte) 
2.Tuma kwenda namba 0768260834.
 3.Tutakujibu ,NAOMBA UTUAMINI  
 4.Hutajibiwa hadi utume pesa.
Share:

BREAKING NEEEWZ:HII 3RD SELECTION YA WANAFUNZI(HASA KWA WALE WA NACTE) WALIOCHAGULIWA SAUT KUJIUNGA KWA MASOMO YA DIGRII MWAKA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                      
Habari yenu wadau ,kuhusu afya yetu tu wazima wa afya njema na mwenyezi mungu mwingi wa rehema anajalia kila siku mambo yanazidi kuwa mazuri,kama ambavyo tunatarajiria katika kuendelea kuwapa raha watanzania leo tumewaletea majina ya WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA
 CHUO KIKUU CHA SAUT 3RD SELECTION 2014/2015HIVYO BASI KAMA UTAPENDA KUANGALIZIWA POST YAKO 

UNATAKAIWA KUFANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 KATIKA FORMAT IFUATAYO.
E.g.MUSSA PAUL S0765/0008/2011(SAUT 3RD) 

2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSH.800 AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.

Share:

Sunday 5 October 2014

DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA SUA KWA MWAKA WA KWANZA WOTE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 







LOCATION OF SOKOINE UNIVERSITY OF 
AGRICULTURE AND ARRIVAL INFORMATION
Sokoine University of Agriculture is in Morogoro Municipality and is about 200 km west of Dar es Salaam, 260 km from Dodoma and 320 km from Iringa. Be informed that all students selected to join B.Sc. Environmental Science and Management, B.Sc. Education, Bachelor of Tourism Management (BTM), B.Sc. Agricultural Education (Agricultural Sciences and Biology), Bachelor of Rural Development (BRD), B.Sc. Agricultural Economics and Agribusiness, B.Sc. Applied Agricultural Extension, B.Sc. Range Management and B.Sc. Informatics are supposed to report at Solomon Mahlangu Campus (SMC) in Mazimbu, whereas the rest will be reporting at the Main Campus (MC).  Students are required to arrive between 08:00 hours and
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO TAREHE.05/10/2014 KUBWA ZAIDI MDEE ATIWA MBARONI BAADA YA KUFANYA MAANDAMANO BATILI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
   
.
Share:

Friday 3 October 2014

HAYA NDIO MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MUHIMBILI UNIVERSITY KOZI MBALIMBALI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                           MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES
                                       
 Kama kawaida yetu maswayetu blog tunatoa huduma ya kungalizia watu majina yao endapo wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu;huduma yetu utatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa.
1.Tuma  form 4 exam number,jina lako kamili.mfano john paul[muhas]
2.Tuma kwenda namba 0768260834.
3.Tutakujibu ,NAOMBA UTUAMINI

4.Hutajibiwa hadi utume pesa.USIPIGE SIMU.
KUNAGALIA UMEPANGIWA WAPI BONYEZA HAPO CHINI;

Share:

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA 2ND SELECTION CHUO KIKUU CHA SUA 2014/201

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                           Image result for sua
 Kama kawaida yetu maswayetu blog tunatoa huduma ya kungalizia watu majina yao endapo wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha sua kwa awmu ya pili ;huduma yetu utatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa.
1.Tuma  form 4 exam number,jina lako kamili.
2.Tuma kwenda namba 0768260834.
3.Tutakujibu ,NAOMBA UTUAMINI 

4.Hutajibiwa hadi utume pesa.USIPIGE SIMU.
KUNAGALIA UMEPANGIWA WAPI BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Thursday 2 October 2014

BREAKING NEEWZ:JOINING INSTRUCTIONS ZA UDOM SPECIAL PROGRAMME YA DIPLOMA SAYANSI NA HISABATI ZIMETOKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
            slide1
BAADA YA KUSUBIRIA KWA MDA MREFU HATIMAE CHUO KIKUU CHA DODOMA KIMETOA JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SPECIAL PROGRAMME YA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 2014/2015.
KUTOKANA NA JOINING HIZO CHUO SASA KITAFUNGULIWA TAREHE 18 OCTOBER 2014.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tupo hapa kutoa msaada kwa wale wote mnaohitaji HUDUMA yetu tutakutumia joining hiyo.
Ili kutumiwa joining hiyo fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KAMILI NA NAMBA YAKO YA FORM4
    mfano :MUSSA 
KWILASA(S0756/0002/2013) kwenda namba 
    0768260834
2.TUMA EMAIL YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
3.TUTAKUTUMIA JOINING HIYO MARA TU
Share:

JE UNATAKA KUBADILI KOZI ULIYOCHAGULIWA CHUO KIKUU?SOMA>>NJIA KUU TATU ZITAKAZOKUFANYA UAME KOZI KIURAHISI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                               
                           (innocent the blogger boy akiwa msamvu morogoro)
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT wadogo hamjambo?wakubwa shikamoni.
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali ndani na nje ya Bongo yetu hii.Hongereni sana kwani nyie ni baadhi ya vijana wengi waliokosa nafasi hizo;
Leo napenda kuzungumzia mada kubwa kuhusu ubadilishaji wa kozi uingiapo chuoni,Kutokana na vijana wengi kuchaguliwa kozi ambazo hawazitaki,mfano mtu alikuwa anataka kusomea ualimu akajikuta kachaguliwa hotel management au mwingine alikuwa anataka kusomea udakatari akajikuta kachaguliwa Ualimu LEO nitaelezea njia ambazo unaweza kuzifanya ili uweze kuadilisha kozi na kusoma kozi unayoitaka;
Zifuatazo ni njia hizo;
1.KUBADILI KOZI SIKU YA KWANZA YA REGISTRATION
   UFIKAPO CHUONI.

-Hii ni kati ya njia ambazo ni nyepesi sana ambayo itakufanya usome kozi unayotaka kusoma tofauti na uliyochaguliwa,ukifika
Share:

BREAKING NEEEWZ:TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO WALIODAHILIWA KATIKA PROGRAMU MAALUM YA STASHADA YA UALIMU WA SAYANSI NA HISABATI ,2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wote mliochaguliwa UDOM kwa masomo ya sayansi na hisabati bodi imefungua mlango,kwani mda wa kuomba mkopo umewekwa kuwa ni wiki 2,kuanzia tarehe 29,MPE TAARIFA MWENZAKO,SOMA TAARIFA HIYO HAPO CHINI,MASWAYETU BLOG TEAM TUNAWAPENDA SANA.

TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO WALIODAHILIWA KATIKA PROGRAMU MAALUM YA STASHADA YA UALIMU WA SAYANSI NA HISABATI 
Share:

BUNGE LA KATIBA DODOMA KIMENUKA,HATIMAE THELUTHI MBILI YAPATIKANA SOMA HAPA

 
Bunge maalumu la Katiba nchini Tanzania limepitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kura za ndio zilizopigwa na wajumbe kufikia kiwango kinachostahili.
Ili katiba hiyo iliyopendekezwa ipite ilitakiwa kuungwa mkono na kura za ndio theluthi mbili kutoka Tanzania bara na theluthi mbili za ndio kutoka Zanzibar.

Share:

TANGAZO LA KAZI KUTOKA SEKRETRIETI YA AJIRA ,TAFADHALI CHANGAMKIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                 Image result for tanzania
Jamaa zangu wote waliomaliza SUA wakina james,michael dyanka,mchizi wangu sengo changamkieni ajira fasta fasta,soma tangazo hilo hapo chini;,

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger