Saturday 31 May 2014

HATIMAE SUA WASAINI BOOM-INJINIA WAONGOZA JAHAZI WENGINE WAFATA


HATIMAE WANAFUNZI WA SUA WAFURAHI BAADA YA KILIO CHA MDA MREFU KUHUSU KUSAINI BOOM LAO(FEDHA YA CHAKULA NA HOSTEL)
HILO NIMELISHUHUDIA LEO ASUBUHI MAENEO YA MULTIPURPOSE SUA AMBAPO NILIKUTA WATU WAKIWA KWENYE FOLENI YA KUSAINI.
PONGEZI ZA DHATI ZIMWENDEE AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO KWA KUPIGA KUFAKUPONA HADI ALIPOPATA MAJINA HAYA.

ANGALIA PICHA CHINI KWA MATUKIO ZAIDI ILIVYOKUWA LEO ASUBUHI.
Share:

Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini


Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa
Share:

Hivi Toka Sugu Amekua Mbunge ni Kitu Gani Alishawahi Kuwafanyia Wasanii wa Taifa Hili?



Msanii wa Leka Dutigite, Linex Sunday Mjeda amefunguka na kudai kuwa hajaona mchango wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu kwa wasanii wa muziki.....
Share:

KUMRADHI PICHA ZINATISHA SANA: DEREVA BODABODA AUAWA KIKATILI NA MAJAMBAZI KWA KUCHINJWA SHINGO...FUNGUA HAPA.




Picha jinsi alivyochinjwaJeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704 CDQ.
CHEKI VIDEO YA TUKIO HAPO CHINI
Share:

TUMEFANIKIWA KUZIPATA PICHA ENZI ZA UHAI WAKE ZA MWANAFUNZI ALIYEFARIKI KATIKA HOSTEL ZA CHUO KIKUU MLIMANI (UDSM)



ENZI ZA UHAI WAKE....

Share:

PICHA ZA UTUPU ZA LADY JAY DEE, KATIKA JARIDA LA VIBE..JIONEE UTAMU WA JAY DEE




Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Flevaambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
Share:

MAKUBWA..!! KIJANA ANAEDAIWA KUWA NI MSUKULE,AONEKANA NJE YA NYUMBA YA KIKONGWE ALIYEUAWA KWA USHIRIKINA,NI SIKU MOJA BAADA YA MAZISHI YA KIKONGWE HUYO



Kijana Ndaki Samola akiwa amepandishwa ndani ya gari la
polisi kwa ajili ya kupelekwa kwa wataalamu ili kufanyiwa
uchunguzi kama ana matatizo ya akili.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya wananchi wa kijiji cha Ilebelebe kata ya Itilima wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamefurika kushuhudia tukio la kijana mmoja anayesadikiwa kuwa ni msukule aliyeibuka siku moja baada ya kikongwe kuuawa kwa kucharangwa mapanga kwa imani za kishrikina kijijini hapo. 

Kijana huyo aliyedai kuwa anaitwa Ndaki Samola alionekana jirani na nyumba ya mwanamke Nyanzala Basu (65-70) aliyeuawa Mei 26 mwaka huu,saa moja na nusu usiku baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana kisha kumcharanga mapanga akiwa nyumbani kwake kisha kutokomea kusikojulikana. 
Share:

Pigo jingine kwa bongo movie,Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro



Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Share:

PICHA CHAFU, JAMAA AWEKA PICHA ZA MPENZI WAKE MTANDAONI KISA AMEPIGWA KIBUTI


 
Wimbi la picha za uchi lazidi kushika kasi katika mitandao ya kijami,cheki jamaa ameweka picha za mpenzi wake kisa ameachwa na mpenzi wake
PICHA HAPO CHINI
Share:

Friday 30 May 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA


1_cde74.jpg
2_6de27.jpg
3_d796c.jpg
Share:

WAPINZANI BUNGENI WAMKAANGA ZITTO


Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).
Hii ni mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge 'mwenzao' na tuhuma za ufisadi tofauti na kawaida yao ya 'kuwashughulikia' ubadhirifu katika Serikali.
Share:

Muswada wa VAT waongeza muda wa Bunge



Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato (VAT).
Share:

MAMBO 6 AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUFANYIWA NA MADEMU ZAO




Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume. Nayo ni haya hapa, ungana nami kujadili jambo hili ambalo kwangu nimeona ni changamoto au niseme sikujua. 

1. Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi waoMwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri. Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli. Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini? Weka balbu bwana. Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya. 

2. Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele, mlalamishiYeye ni kulalamika kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa. Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!
Share:

HUYU NDIYE KIJANA ANAYEKURA URODA WA IRENE UWOYA




Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya
Share:

WAKUBWA TU: WAREMBO WASAGANA HADHARANI..TIZAMA PICHA HAPA


 Hakika hii ni hali ya kusikitisha na si jambo la kulichukulia mzaa.Wadada hao walionekana club wakilana denda mbele ya  kadamnasi bila woga. 
Share:

Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT.


msamiiiii

Kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.
bilaa
Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa >>> ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’

Share:

Zitto Kabwe Awajibu Chadema Walio Mtuhumu Kwa Ufisadi Kupitia LekaDutigite



Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. 

Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger