Monday, 13 April 2015

Hata kama wamchukia, lakini Dr. Jakaya Kikwete ni mfano wa kuigwa barani Africa


Sio siri, sote tunakubali kwamba serikali ya awamu ya nne ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufungua ukurasa wa uhuru wa habari, utawala bora wa sheria na kuheshimu haki za binadamu, nchi yetu imekuwa iking'ara katika kudumisha haki za kidemokrasia.

Kwa upande wa kimataifa na utawala bora Tanzania imepiga hatua kubwa sihitaji kulizungumzia hilo kwa sanatunajua ugeni wa rais wa china na rais Obama pamoja na kuingia mikataba mikubwa ya maendeleo kwa nchi yetu.



Ikumbukwe kuwa April jana rais Kikwete alipata tuzo ya heshima ya kuwa rais mwenye mchango mkubwa kwa nchi yake barani Africa kwa mwaka 2013. Tuzo hiyo ya heshima ilitolewa na jarida maarufu la African Leadership Magazine Group, Mjini Washington Dc ilipokelewa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, Mhe Bernard Membe.


Tuzo hizo hutolewa kila mwaka kwa viongozi wa Africa wenye mchango mkubwa wa kiuchumi na kijamii.


Kwa watanzania tuliowengi rais Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha kuwa mstahamilivu, shupavu mwenye msimamao na mpenda haki na asiyechukua maamuzi ya kukurupuka kwa maneno ya vijiweni ambayo mengi ni uzushi na uongo yenye kuleta uchonganishi baina wananchi na serikali yao walioichagua.
Share:

Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution‏

 
CHADEMA Secretary General, Dr. Wilbrod Slaa has arrived safely into the United States, in the State of Indiana, where he was met by the State Governor Mike Pence at Indianapolis International Airport before proceeding to the State Capital, (Governors mansion) where they exchanged ideas and planned a follow up discussions in a couple of days to come.

Dr. Slaa was accompanied by his wife Josephine, and his spokesperson, Liberatus Mwang'ombe. Among other things, both leaders discussed various issues of which constitutional challenges took the center stage.

The Governor and other constitutional experts in discussion were particularly concerned with developments from Tanzania in which people's views might not be reflected in the proposed constitution.

Long term peace and economic prosperity in any given country, depends on the kind of constitution they have. Tanzanians voices must be respected said Professor Curtis. A sentiment which was echoed by Dr. Slaa, who said that Chadema and its parters in UKAWA coalition will never accept a mutilated Constitution not meant for the people, but for the few corrupt rulers and their henchmen.



[Pictures: Dr. Slaa , his wife Josephine and constitutional experts, Professors J.M Curtis and Dickson Ramsey]
Share:

BREAKING NEEWZ:AJIRA MPYA ZA WALIMU ZITATOKA APRIL 25/04/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tokeo la picha la tamisemi 
Katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
Share:

POLISI WANYANG’ANYWA WATUHUMIWA, WACHOMWA MOTO!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Hii  si poa! Raia wenye hasira, katikati ya wiki iliyopita waliwachukua vijana wawili wanaotuhumiwa kuwa majambazi,
Share:

USINZIBE MDOMO: MIGOMO INACHOCHEWA NA MAJIBU MEPESI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wananchi wakiwa katika maandamano.
IJUMAA iliyopita ilikuwa ni siku kubwa ingawa haikuwahi kuwekwa katika kalenda hapo kabla. Ilikuwa ni siku ambayo umma kwa upana wake, ulitambua jinsi gani sekta ya usafirishaji ilivyo muhimu. Nina uhakika, mamia ya watu walipata hasara ya mamilioni ya shilingi.
Share:

HII HAPA IDADI YA WALIMU WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI SEMINA DAR KUTOKA MIKOA KARIBIA YOTE YA TANZANIA-2015,SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                    Tokeo la picha la NGAO YA TANZANIA
OWM-TAMISEMI.
OWM-TAMISEMI kwa kushirikiana na
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU-KUBWA ZAIDI AJALI NYINGINE YA BASI 18 WAFA HAPO HAPO-SOMA ZAIDI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                     
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger