Karibu Behac Company Limited kwa huduma za Chakula halisi cha Kitanzania/Kiafrika, Bar, Order, Miamala ya Fedha, Pharmacy .Pia tunakodisha viti, meza na sahani.
Tunapatikana Bwalo la Polisi Mjini Shinyanga . Wasiliana nasi kwa simu namba 0782767034 / 0753474488 Email : info@behac.co.tz ...
Saturday, 26 February 2022
Friday, 25 February 2022
SERIKALI YATAKA MEWATA KUHAMASISHA JAMII KUKABILIANA NA MABADILIKO YA MAGONJWA
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na chama cha madaktari wanawake Tanzania(MEWATA) katika Mkutano wa 19 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Dodoma.
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na chama cha madaktari wanawake Tanzania (MEWATA) katika Mkutano wa 19 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Dodoma.
Na...
Dkt. YONAZI : SERIKALI ITAENDELEA KUWALINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA UHALIFU MTANDAONI
Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Jim Yonazi akifunga mafunzo ya siku tano yanayohusu usalama mtandaoni kwa wapelelezi na askari wa chumba cha mashtaka Jijini Dodoma.
Na Dotto Kwilasa-Malunde 1 Blog-DODOMA.
KATIBU Mkuu,Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia...
Pich : EWURA YATOA MAFUNZO YA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI KWA WENYEVITI WA MITAA MANISPAA YA SHINYANGA..MMARI ATAKA WATUMIAJI WAKIZINGULIWA WADAI FIDIA
Katibu Mtendaji wa EWURA CCC Mhandisi Goodluck Mmari akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wenyeviti wa serikali za mitaa Manispaa ya Shinyanga yaliyoandaliwa na EWURA CCC kuhusu haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za nishati na maji.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Baraza la Ushauri la...
SABABU ZA URUSI KUIVAMIA UKRAINE...PUTIN ANATAKA NINI??

CHANZO CHA PICHA,
EPAKupitia angani , nchi kavu, na baharini, Urusi imeanzisha shambulio baya dhidi ya Ukraine, nchi yenye demokrasia barani Ulaya ya watu milioni 44.
Kwa miezi kadhaa Rais Vladimir Putin alikuwa amekanusha kuwa angevamia jirani yake, lakini kisha akavunja makubaliano...