Saturday, 30 May 2020

Donald Trump aiwekea vikwazo China kufuatia sheria yake ya usalama Hong Kong

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuweka vikwazo vipya dhidi ya China, akiituhumu tena kuhusika kwa maelfu ya vifo vilivyoptokana na ugonjwa hatari wa Covid-19. Ametangaza pia kutokubaliana na sheria ya usalama wa China kwa Hong Kong ambayo imeendelea kuzusha wasiwasi mkubwa katika kimbo...
Share:

Kansela Angela Merkel akataa kuhudhuria mkutano wa G7 Marekani

Kansela Angela Merkel amekataa kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la nchi 7 zenye uchumi wa juu zaidi duniani, G7, nchini Marekani mnamo mwezi Juni, kama ilivyopendekezwa na rais wa Marekani, Donald Trump. Angela Merkel amesema hatohodhuria mkutano huo, kwa sababu ya janga la Corona, msemaji...
Share:

Baada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO

Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kukata uhusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China. Katika kikao na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House jana Ijumaa, Trump alirudia tuhuma zake dhidi ya shirika hilo akidai kwamba linaipendelea...
Share:

PICHA: Rais Magufuli akabidhi zawadi ya Ndege aina ya Tausi kwa Marais Wastaafu Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja...
Share:

Simbachawene: Serikali Ipo Katika Mchakato Kuhakikisha Mahabusu Nchini Wanafanya Kazi Magerezani Kama Wafungwa

Na Felix Mwagara, MOHA, Dar. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Serikali ipo katika mchakato wa kuhakikisha Mahabusu waliopo katika Magereza mbalimbali nchini wanaanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa wafungwa. Amesema mchakato huo ambao tayari umeanza, utakapo kamilika...
Share:

Picha : RAIS MAGUFULI AWAKABIDHI ZAWADI YA TAUSI MARAIS WASTAAFU WA TANZANIA

Ndege aina ya Tausi (Picha kutoka Maktaba) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake,...
Share:

FULL POWER , ZAT 50 NI SULUHISHO LA KUDUMU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO

Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni ya gesrtogine au kuwa...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino

LIVE:  Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino ...
Share:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Yatoa Bilioni 122.8

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa Sh. bilioni 122.8 kwa vyuo na taasisi mbalimbali za elimu nchini kwa ajili ya ada, chakula na malazi ya wanafunzi wanaorejea vyuoni kuendelea na masomo Jumatatu. Mkurugenzi wa HESLB, Abdul Razaq Badru, aliyasema hayo jana jijini Dodoma...
Share:

Polisi Aliyemuua Kikatili Mmarekani Mweusi Ashitakiwa kwa Mauaji ya Bila Kukusudia

Afisa wa polisi anaetuhumiwa kwa mauaji ya kikatili ya  Mmarekani mweusi, George Floyd ametiwa mbaroni na kushtakiwa kwa kosa la mauaji   kufuatia kifo cha Raia huyo mweusi ambaye alimuua kwa kumkanyaga shingo na kumfanya akose pumzi Hayo yanatokea katika kipindi ambacho mamlaka nchini ...
Share:

Sikonge Yaagizwa Ianze Kutibu Wananchi Katika Hospitali Ya Wilaya Yake

NA TIGANYA VINCENT IDARA ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imeagizwa kuhamia katika jengo la Utawala katika Hospitali ya Wilaya hiyo na waanze kutoa huduma ya watibabu kwa wananchi. Kauli hiyo imeolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Peres Magiri wakati akitoa salamu za Serikali katika...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino

LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino...
Share:

Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi Ataka Nchi Za Sadc Kuimarisha Ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati huu wa kuenea kwa janga la  Virusi vya Corona huku bidhaa na huduma muhimu zinazovuka mipaka...
Share:

Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa Italia Nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo...
Share:

UTAFITI MPYA CHANJO YA CORONA WAONESHA MATUMAINI

Utafiti wa jarida la kitabibu la The Lancet umeonesha chanjo ya COVID-19 ya China imeleta matumaini baada ya kujaribiwa kwa watu wazima 108 wenye umri wa miaka 18 hadi 60 katika jimbo la Wuhan.  Matokeo ya awali kutokana na jaribio la watafiti wa nchini China yameonesha chanjo hiyo ni salama,...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi May 30

...
Share:

Friday, 29 May 2020

Team Assistant at World Bank Dar Es Salaam,Tanzania

Team Assistant at World Bank Dar Es Salaam,Tanzania   Job #: req7419 Organization: World Bank Sector: Administration/Office Support Grade: GB Term Duration: 3 years 0 months Recruitment Type: Local Recruitment Location: Dar Es Salaam,Tanzania Required Language(s): English Preferred Language(s): Closing Date: 6/7/2020 (11:59pm UTC) Description Do you want to build a career that is truly worthwhile?...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger