Saturday, 29 February 2020

Serikali kukataa rufaa kupinga hukumu ya ATCL kulipa Bilioni 69

Serikali imesema imeanza mchakato wa kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Uingereza dhidi ya Shirika la Ndege la Tanzania(ATCL). ATCL imeamriwa kulipa Dola 30.1 milioni (Sh69.23bilioni) kwa kampuni moja ya Liberia kama fidia baada ya kuvunjika kwa mkataba wa kukodisha ndege. Kesi...
Share:

Afrika Kusini kuwarejesha raia wake waliopo Wuhan, China

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameagiza kurejeshwa nchini humo raia 132 wa Taifa  hilo  waliopo kwenye mji wa Wuhan nchini China, mji  ambapo virusi vya corona vimeanzia. Rais Ramaphosa ametoa agizo hilo baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri nchini Afrika Kusini, kikao kilichofanyika...
Share:

Virusi Hatari Vya Corona Vyatua Nigeria

Serikali ya mji wa Lagos nchini Nigeria imethibitisha kuwa, kesi ya kwanza ya maambukizi ya virusi vya korona (COVID-19) imeripotiwa katika mji huo wa kibiashara na wenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini humo. Kamishna wa Afya wa mkoa wa Lagos, Akin Abayomi amesema, raia mmoja wa Italia aliingia...
Share:

Mgumba:Tanzania ina utoshelevu wa chakula kwa zaidi ya asilimia 119

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa kilimo nchini Omary Mgumba amesema,Tanzania bado ina hali nzuri ya uwepo wa chakula kwa kuwa mpaka leo taifa lina utoshelevu wa chakula kwa zaidi ya asilimia 119. Mgumba ametoa taarifa hiyo mkoani Njombe wakati wa kongamano la vijana katika kilimo mwaka...
Share:

BITEKO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE JIMBO LAKE LA BUKOMBE

Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini akizungumza na wakazi wa Kata ya Uyovu jimboni humo Februari 28, 2020 kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Buganzu. Kabla ya mkutano huo, Biteko alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuwapongeza...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi February 29

...
Share:

Friday, 28 February 2020

Serikali ya Tanzania Yaihakikishia Burundi Kwamba Kampuni ya Mbogo Mining ni Halali na Inafanya Shughuli Zake Zote Kwa Mujibu wa Sheria

Serikaki  ya Tanzania imewahakikishia wajumbe 11 wa kamati teule ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza kwamba wanaitambua Kampuni ya Mbogo Kampuni ya Mbogo  Mining & General Supply Ltd na shughuli zote inazofanya  nchini ni halali. Kauli hiyo imetolewa  na baadhi ya mawaziri...
Share:

Mahakama Kuu ya Kenya yatoa amri ya kusitishwa Safari zote za ndege kutoka China kwa Hofu ya Corona

Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo  kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo. Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China...
Share:

Maseneta Wa Ufaransa Kufanya Ziara Nchini

...
Share:

Mkutano Wa Mawaziri Wa SADC Wa Sekta Ya Ajira Na Kazi Kuanza Dar

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Tanzania inatakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini...
Share:

Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kustukiza Kukagua Maendeleo Ya Ujenzi Wa Msikiti Wa Bakwata Kinondoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni...
Share:

PICHA: Aliyekuwa Katibu Mkuu CHADEMA Dr. Vicent Mashinji Atambulishwa Rasmi CCM

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa  leo na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Ofisi Ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni...
Share:

Video Mpya: Aslay – Rudi Darasani

Video Mpya: Aslay – Rudi Darasani...
Share:

Video Mpya Ya Dogo Janja: – Nuru

Video Mpya Ya Dogo Janja:  – Nuru...
Share:

Video Mpya Ya Nandy:– Na Nusu

Video Mpya Ya Nandy:– Na Nusu...
Share:

Makamu wa rais wa Iran athibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona

Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia mambo ya wanawake na familia Bibi Masoumeh Ebtekar jana amethibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona. Mapema jana mwenyekiti wa kamati ya usalama wa taifa na sera za kidiplomasia wa Iran Bw. Mojtaba Zonnour, ambaye pia amethibitishwa kuambukizwa virusi, ametoa...
Share:

NATO Kukutana Kwa Dharura Leo Baada ya Wanajeshi 33 wa Uturuki Kuuawa Syria

Baraza la kiutawala la Jumuia ya Kujihami ya NATO linakutana leo katika kikao cha dharura kuhusu mzozo wa Syria, baada ya wanajeshi wapatao 33 wa Uturuki kuuawa katika shambulizi la anga huku wengine wengi wakijeruhiwa vibaya.. Baraza hilo ambalo linawajumuisha mabalozi wa nchi zote 29 za NATO wanakutana...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger