Thursday, 30 January 2020

AFISA USALAMA WA TAIFA FEKI AKAMATWA AKITAPELI WATUMISHI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA

                                      Sheliku Sweya                       Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Rufaa mkoa...
Share:

Kagame: Sitashurutishwa kufungua mpaka na Uganda

Rais wa Rwanda Paul Kagame, alisema Jumatano kwamba serikali yake itafungua mpaka na Uganda wakati itajihisi kufanya hivyo akisisitiza kwamba hakuna mtu wala nchi yoyote itamshurutisha kufanya hivyo. Akihutubia mabalozi katika mkutano wa kila mwaka na waakilishi wa nchi za nje pamoja na mashirika...
Share:

Eneo kubwa linauzwa: Mapinga(Bagamoyo) ......Bei ni Nzuri Kabisa

Eneo kubwa linauzwa: Mapinga(Bagamoyo)  Eneo kubwa la ekari 5 linauzwa bei nafuu sana. Eneo linafaa kwa uwekezaji wa shule, hospitali, chuo, yard, kiwanda n.k Eneo liko sehem nzuri, yenye view nzuri na barabara ya uhakika. Umbali kutoka Bunju  ni 5km Bei ya kila ekari moja ni tsh 20 mil...
Share:

Waziri Ummy: Tanzania Haina Mgonjwa Wa Corona

Na. WAMJW-Dodoma Mpaka sasa Tanzania haina Mgonjwa wala muhisiwa wa ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Coromna (Hona kali ya mafua) hata hivyo kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo hasa kibiashara na kijamii kati ya Tanzania na nchi za bara la Asia ikiwemo nchi ya China nchi inakuwa katika hatari...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi January 30

...
Share:

Wednesday, 29 January 2020

Global Health & Social Medicine International Postgraduate Scholarship At King’s College London, UK

Scholarship Description: Global Health & Social Medicine International Postgraduate Scholarship at King’s College London, UK is open for International Students The scholarship allows Postgraduate level programm(s) in the field of All Subjects, Global Health taught at King’s College London The deadline of the scholarhip is 31 Mar 2020. Degree Level: Global Health & Social Medicine International...
Share:

Australia Awards Scholarships

Scholarship Description: Australia Awards Scholarships, formerly known as Australian Development Scholarships (ADS), provide opportunities for people from developing countries, particularly those countries located in the Indo-Pacific region, to undertake full time undergraduate or postgraduate study at participating Australian universities and Technical and Further Education (TAFE) institutions....
Share:

DC MACHA ABAINI DANGURO LA BIASHARA YA NGONO LINALOMILIKIWA NA KIGOGO WA CCM KAHAMA MJINI

Jengo la  Bijampola lililoungana na vyumba vya kulala wageni Na Mwandishi wa Malunde 1 blog Kahama Imebainika kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Wilaya ya Kahama Sipilaus Bijampola anamiliki nyumba bubu ya kulala wageni maarufu kama Danguro huku nyumba hiyo ikitumiwa na wanawake kwa...
Share:

CLINIC NURSE/COUNSELORS – 6 posts at Management and Development for Health (MDH)

Management and Development for Health (MDH) is a non-profit organization in Tanzania contributing to address public health priorities. MDH works with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC); President’s Office Regional Authorities and Local Government (PORALG); as well as academic and nonacademic institutions to address the problems of Tuberculosis,...
Share:

Medical Officers (3) and Clinical Officer (3) at Management and Development for Health (MDH)

Management and Development for Health (MDH) is a non-profit organization in Tanzania contributing to address public health priorities. MDH works with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC); President’s Office Regional Authorities and Local Government (PORALG); as well as academic and nonacademic institutions to address the problems of Tuberculosis,...
Share:

Beverage Manager at Serengeti

Beverage Manager (Tanzanian Only) Serengeti This position is for a Tanzanian and we can not accept any other applicants. Please only apply of you are Tanzanian.Based at the Lodge in Serengeti National Park, you should be comfortable with remote living.We can not accommodate families however you will have leave every 11 weeks to go home. This job entails;… Read More » The post Beverage Manager at...
Share:

Job Vcancies at BAGAMOYO District Council

Job Descriptions Job Vcancies at BAGAMOYO District Council. Read carefully all currently available jobs descriptions by downloading PDF File attached. DOWNLOAD PDF FILE) The post Job Vcancies at BAGAMOYO District Council appeared first on Udahiliportal.com...
Share:

HUYU NDIYO SIRI YASINI KIONGOZI MAHIRI MWANAMKE ALIYETUMIKIA VYAMA VYA SIASA MIAKA 25 SASA…KATANGAZA KUNYAKUA JIMBO LA SHINYANGA MJINI 2020

Bi. Siri Yasini Swedi Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog  Kujiamini ndiyo silaha kubwa kwa mwanamke kufanikiwa katika masuala ya uongozi!!! Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha ACT Walazendo mkoa wa Shinyanga Bi. Siri Yasini Swedi aliyetumikia uongozi katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Share:

Head; Channels Services & Systems Support at NMB Bank

Head; Channels Services & Systems Support   Job Purpose Driving technology alternative channels roadmap and strategy for all digital self-services, agency network, cards settlement, remittance and payments systems to ensure high and sustainable channels systems performance, SLAs and integration of channels systems with internal and third parties systems. Main Responsibilities Responsible...
Share:

Quality Assurance Engineers at Vodacom

Quality Assurance Engineer 2 Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  28-Jan-2020 Full Time / Part Time:  Full Time Contract Type:  Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute about… Read More » The post...
Share:

Kamati Za Usimamizi Wa Maafa Mikoa Ya Mradi Bomba La Mafuta Zashauriwa Kuuweka Mradi Kwenye Mpango Wa Kujiandaa Na Kukabiliana Na Maafa.

Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Menejimenti ya Maafa, imezishauri Kamati za Usimamizi wa Maafa katika  mikoa 8 na vijiji 184  vinavyopatikana   katika wilaya 24 zilizopo katika mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, ambapo Mradi wa Bomba la...
Share:

Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Sheria Ndogo Kusikiliza Maoni Ya Wadau Jan, 31 ,2020.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo imepanga  kufanya mkutano  wa kusikiliza Maoni ya wadau [Public Hearing ]kuhusu Muswada wa sheria wa usuluhishi ya Mwaka  2020[The Arbitration Bill 2020] kwa mujibu ya kanuni  ya 84[2] ya kanuni za kudumu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger