Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuchangamkia fursa ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kuwa mahitaji ni makubwa na soko ni kubwa.
Majaliwa amesema hayo jana Ijumaa Juni 28, 2019 wakati akitoa hoja ya kuahirisha kikao cha mkutano wa 15 wa Bunge la Tanzania.
Amesema...
Saturday, 29 June 2019
Kauli ya IGP Sirro Baada ya Watanzania 9 Kuuawa Msumbiji

Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watanzania wapatao 9 wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa nchini Msumbiji ambako walikwenda kujitafutia riziki.
Akiongea leo mkoani Mtwara eneo la mpaka wa Tanzania na Msumbiji amesema mauaji hayo yamefanyika Juni 26, 2019 ambapo pia watu wa Msumbuji...
Wabunge wa Upinzani Wapinga Tundu Lissu Kuvuliwa Ubunge

Baadhi ya wabunge wa upinzani nchini Tanzania wametoa maoni kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii kufuatia Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kutangaza kiti cha ubunge wa Singida Mashariki kilichokuwa kikikaliwa na Tundu Lisu wa Chadema kiko wazi.
Spika Ndugai alitangaza uamuzi huo jana Ijumaa...
Makonda Amuomba Radhi Rais Magufuli

Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars, Paul Makonda amemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli kufuatia Stars kupoteza mechi ya pili mfululizo.
Makonda ameomba radhi hiyo jijini Cairo kwamba kila Mtanzania alikuwa na imani ya kupata ushindi katika mchezo dhidi...
India yafanyia majaribio kombora lenye uwezo wa kubeba kichwa cha bomu la nyuklia

Serikali ya India imelifanyia majaribio kombora la balestiki linaloitwa Prithvi II lenye uwezo wa kubeba kichwa cha bomu la nyuklia.
Majaribio ya kombora hilo la kutoka ardhini kuelekea angani la Prithvi II lilibebwa na trela la kubebea mizigo kwa umbali wa kilometa 350 kupitia maeneo ya mji wa Chandrapur...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI

Arsenal wapo tayari kumuuza mshambuliaji wao raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, lakini si kwa Manchester United ama Liverpool. (90min.com)
Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, ameiomba klabu yake ya Crystal Palace imruhusu ahamie Arsenal. Palace inamthaminisha streka huyo streka huyo...
Serikali inawathamini wawekezaji Sekta ya Michezo

Na Shamimu Nyaki -WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaofanywa na Taasisi pamoja na vituo vya kukuza vipaji katika sekta ya michezo hapa nchini kwakua imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa...
Tundu Lissu Kwenda Mahakamani Kupinga Kuvuliwa Ubunge

Baada ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge, mwanasiasa huyo ambaye anaendelea kuuguza majeraha ya risasi ughaibuni amesema atakwenda mahakamani kupinga uamuzi huo.
Lissu alisema hayo jana Ijumaa...
Friday, 28 June 2019
BREAKING: Tundu Lissu Avuliwa Ubunge......Spika Ndugai Ataja Sababu

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameliambia Bunge hilo leo Ijumaa Juni 28, 2019 kuwa amewandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumjulisha kuwa kiti cha ubunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lisu kipo wazi.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo wakati akiahirisha mkutano wa 15 wa Bunge...
Waziri Mkuu: Mpango Wa Blueprint Kuanza Julai Mosi Mwaka Huu
WAZIRI MKU Kassim Majaliwa amesema kuanzia Julai Mosi mwaka huu Serikali itaanza kutekeleza Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mfumo wa Udhibiti wa Biashara nchini (Blueprint) kwa lengo la kurahisisha mazingira ya kufanya biashara.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Juni 28) wakati...
Kampuni Ya China Yawekeza $1 Bilioni Sekta Ya Kilimo Tanzania

Kampuni ya Super Agri Technology ya China imesaini makubaliano na kampuni ya Tanzania Agriculture Export Process Zone kuwekeza $1 bilioni katika sekta ya kilimo na usindikaji kwa kipindi cha miaka mitano.
Makubaliano hayo yamesainiwa katika mkutano wa China-Africa Economic& Trade Expo yanayofanyika...
TCRA Yaratibu Zoezi La Usajili Walaini Za Simu Kwa Mfumo Wa Alama Za Vidole

Vero Ignatus,Kilimanjaro.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeendesha zoezi la kusajili laini za simu kwa mfumo wa alama za vidole ikishirikiana na Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Jeshi la Polisi Kitengo cha makosa ya mtandaoni,Uhamiaji pamoja na watoa huduma za mawasiliano, stendi kuu ya...
Ufahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake

Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa.
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo...
Jaguar Anyimwa Tena Dhamama

Mbunge wa Jimbo la Starehe Kenya Jaguar ataendelea kusalia rumande kwa siku 5 zaidi baada ya Mahakama kuagiza Mbunge huyo aendelee kushikiliwa katika kituo cha Polisi mpaka Jumatano ya wiki ijayo kuruhusu uchunguzi zaidi juu ya kesi yake.
Jaguar aliyekuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, ...
Atiwa Mbaroni Kwa Kutapeli Milioni 2 kwa kutumia sare za JWTZ

Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linawashikilia watuhumiwa 6 kwa makosa tofauti ikiwemo kupatikana kwa sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ) na kutumia sare hizo kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu pamoja na unyang’anyi kwa kutumia silaha aina ya Shotgun Magnum Eagle 1 yenye namba 12/76 TS 870.
Kamanda...
Kisukari (Diabetes Mellitus) : Chanzo, Dalili na Matibabu Yake

Miongoni mwa magonjwa sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania ni ugonjwa wa kisukari.
Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi kongosho linaposhindwa kutengeneza kichocheo aina ya Insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo...