INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Updated List Of Third Batch Selected Students To Join KIU For 2015/2016Updated List Of Third Batch Selected Students To Join KIU For 2015/20...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2015/2016 academic year. Registration shall begin on wednesday, 28th October, 2015 followed by Orentation on Friday 30th October, 2015 and lectures shall begin on Monday, 2nd November, 2015.
Click Here to view the selected canditates.
Click Here to...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ni siku ambayo tayari historia imeandikwa kwenye vichwa vya Habari za Siasa Tanzania ambapo Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametangazwa kuywa mshindi wa kiti cha Urais kwenye Uchaguzi mkuu uliofanyika October 25 2015.
Rais JK na Dk. Magufuli ndani...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Students selected to join Bachelor degree 2015/2016 academic year (Mbeya campus)-Second selection
Students selected to join Bachelor degree 2015/2016 academic year (Dar es salaam campus)-Second selectio...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MAASWAYETU BLOG Leo tena tunaweletea Joining instructions za kozi mbalimbali certificates na diploma kwa mwaka wa masomo 2015/16Tunajua wengi mnazisubiria hizi form kwa hamu sana na mnataka mjue gharama za mafunzo kwa chuo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Chuo Kikuu cha Dodoma kinasikitika kuwatangazia Wanafunzi wote kuwa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Chuo tarehe za kufungua Chuo zimebadilishwa.
· Kwa wanafuzi wapya, Chuo kitafunguliwa tarehe 14 Novemba 2015 badala...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,
Kama kawaida yetu MASWAYETU blog tunanendelea kukuletea huduma karibu zaidi,Kutokana na NACTE kutangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya 2015/2016 pia unatakiwa kufanya confirmation ya uchaguzi ulipochaguliwa usipofanya hivyo nafasi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO
1: Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo, katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo...