INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
YAFUATAYO NI MAJINA YA WALIMU WA STASHADA WALIOPANGIWA JKT 2014 AMBAO KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA WANATAKIWA KURIPOTI SEPTEMBER 2014.
KAMA UTASHINDWA KUANGALIA JINA LAKO TAFADHALI PIGA +255768260834 KUAMBIWA UMEPELEKWA WAPI,(tafadhali tuma na tsh.100 kwa ajili ya kujibiwa kwa sms nashukuru sana)
TAFADHALI BONYEZA HAPA KUANGALIA KUANGALIA JINA...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote waliomaliza chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro.
Kiukweli mmeonyesha uwezo mkubwa sana kwani KUMALIZA SUA sio masihara,Kiukweli sua kuna mishale mingi kwani kabla walimu hawajaanza kufundisha mnakutana na SCRRENING TEST,Hamjakaa sawa ASSIGNMENT,QUIZ,MAKE UP,TEST,PRACTICALS,PROBATION,TUTA,RETAKE ,so...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Huenda sio wachezaji wageni ,
lakini michuano ya kombe la dunia Brazil iliwaleta wachezaji hao kwa
sura tofauti sana kwa mashabiki wa soka duniani.
Hata cha muhimu zaidi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Endapo utataka kuangaliziwa matokeo yako au ya mwanao fanya yafuatayo;
1..TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA
NAMBA 0768260834 mfano JOHN JOHN S0710/0118/2015(MATOKEO UALIMU
DSEE,DTE,GATCE AU GATSCCE...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Usaili utafanyika sehemu zifuatazo:
1.COMPUTER
SYSTEM ANALYST GRADE II (SYSTEM ADMINISTRATION) - USAILI WA VITENDO
(PRACTICAL) utafanyika Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) tarehe
18 Julai 2014 saa 12:45 asubuhi
2.COMPUTER SYSTEM
ANALYST II (MOBILE...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu
5 wamekufa papo hapo wakiwemo watu watatu wa familia moja na wengine 3
kujeruhiwa vibaya baada ya lori la kubebea mizingo kuparamia nyumba ya
kuuzia pombe katika kijiji cha Ugwachana, Manispaa ya Iringa.&nbs...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanajeshi mwasi akiwa karibu na eneo kulikoanguka ndege hiyo ya Malaysia.
Ndege ya shirika la Malaysian
ikiwa na abiria 295 imeanguka...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jana
tarehe 16/07/2014 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ilifanya kikao
cha kawaida cha siku moja mjini Dar es salaam. Kikao hicho kiliongozwa
na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Jakaya Mrisho Kikwet...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya
amesababisha tena! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume
aliyewahi kuwa mpenzi wake (jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga
ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ‘nyumba
ndogo’.&nbs...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha
‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi
kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata
pes...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa
risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita,
Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa
Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wak...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta
‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la
mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin
Drew Bieber (20), Amani lina cha kushika mkonon...